Kiswahili kwenye movie za Hollywood

Kiswahili kwenye movie za Hollywood

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Kiswahili kimevuka boda tena kwaa saaana.
Hollywood wanatumia kiswahili kwenye movies zao tena kwa ufasaha.

Kuna seriez inaitwa “intelligence eps 5“
Neno “ hakuna matata“
Limetumiwa.
Pia kuna movie ya american pie..
Wana jf ni movie gani ya mbele umewahi kuitimaza ambayo kiswahili kimetumika?
 
Mi nimeona nyingi tu ila nmezisahau majina...hata hiyo american pie yule jamaa alijifanya teacher wa kiswahili... ila movie nyingi wanazoweka kiswahili ni zile ambazo unakuta jamaa wamekuja africa so lugha ya kiafrika inatumika kiswahili....japo black wanyoitumia wanakua ni black americans wamekaririshwa maneno
 
Yeah kwa american pie hata stifl alisem swahil..sem movie nying hutumik sehem ndogo..movie ingne ni ya Angelina Jolie cnt rememb titl yak..bt alikuja afric
 
The Last King of Scotland


2722943_det.jpg


Out of Africa

images
 
Kiswahili kimevuka boda tena kwaa saaana.
Hollywood wanatumia kiswahili kwenye movies zao tena kwa ufasaha.

Kuna seriez inaitwa "intelligence eps 5"
Neno " hakuna matata"
Limetumiwa.
Pia kuna movie ya american pie..
Wana jf ni movie gani ya mbele umewahi kuitimaza ambayo kiswahili kimetumika?

The last King of Scotland pia. Forest Whitaker amabye amecheza kama Idd Amin, Rais wa Uganda, anaongea Kiswahili , japo siyo fasaha sana, kuwaamrisha askari wake
 
Back
Top Bottom