simuelewi jb

simuelewi jb

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
540
hivi jamani ninaomba kuuliza umri wa huyu mtu ili 2tatue ugomvi hapa nyumbani kuhusu umri wake
 
mmmh sijui anaumri gani ila nilianza kumuona anaigiza katika michezo ya MAMBO HAYO nikiwa primary hadi sasa mimi pia ni mtu mzima, so atakuwa kwenye 40s kama sijakosea.
 
mmmh sijui anaumri gani ila nilianza kumuona anaigiza katika michezo ya MAMBO HAYO nikiwa primary hadi sasa mimi pia ni mtu mzima, so atakuwa kwenye 40s kama sijakosea.

Poa mkuu kwa msaada wako
 
Back
Top Bottom