Je umesha wahi kuisiki gmd band wewe

Je umesha wahi kuisiki gmd band wewe

Capogi jr.

Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
49
Reaction score
7
Jamani wapenz wa burudani wa jf mi na swali je umeshawahi kuwasikia GMD BAND. Ni kikund ambacho hutoa burudani ya nyimbo za injili katika matamasha au show binafsi. Ki ukweli hawa watu wamajua kuimba kwa sana wakiongozwa na producer wa GRORY TO GRORY ndugu AHAZ KHALONGOTH. Je unataka wakuletea upako wa burudani yao ya injili katika kumsifu na kumwabudu MUNGU
....... Waweza kufika katika kanisa la JERUSALEM TEMPLE(soko matola,mbeya) na kumulizia AHAZ KHALONGOTH kama mwenyekiti wa kikundi. Kalibu sana.......
 
Back
Top Bottom