TV stations za bongo bwana(local channels) majanga tupu

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,312
1,500
Nimejitahiid kutune station zote toka SAA tano asubuh hadi sasa naona unaz cjaona hata kipind cha maana cjui ni mchana tuu mbona usku kdogo afadhal arrrgghh ngoja nizime nijliwaze na Jf ...maana nikiwa humu nafurah sana especially wale negative thinkers na pondaponda jf member...
 

nexus white

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
209
225
Tena kama kipindi cha kuanzia saa 9 mchana hadi 11 jioni ndani ya EATV ni full vichekesho na upuuzi
 

FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,366
2,000
Uwekezaji wetu wa kitanzania ni sifuri kabisa, karibia vituo vyote system yao ni moja.....nadhani kuna msukumo hafifu sana wa kuvutia kazi zenye viwango,weledi, ubunifu....sio kwenye vipindi vya kawaida, matangazo ya biashara, tamthilya, vichekesho n.k.

Huwa naangalia wenzetu wa citizen tv ya Kenya...vipindi vyao, matangazo ya biashara, tamthilya zao na komedi zao ni za kutumia akili na weledi, sio kama kwetu za kuunga unga tu....na kuigana igana toka tv moja kwenda nyingine.

EATV walau wanajitahidi ukilinganisha na wenzao, marekebisho kadhaa, mfano komedi za kina Bambo wawekeze kwenye akili waache kuendekeza yale madudu ambayo nadhani hata mzee Mengi huwa haangalii lakini sisi anaona inatufaa....wajifunze kwa "papa shirandula" ya citizen.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom