Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau wa JF hiyo movie ni ya zamani lakini bado napenda kuingalia tena na tena. Nimeitafuta sana bila mafanikio. Naomba kama kuna Ndugu anayo au ana link ambayo itaniwezesha kuidownload anisaidie...
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Habari zenu wakuu....wapi naweza kununua videos za traditional chinese songs
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Nearly five years after his death, the world is getting previously new music from Michael Jackson. Xscape will hit stores May 13 and feature eight previously unreleased tracks. Associated Press...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari zenu wadau! In our cultures, music is an important part of our way of life. Having said that, Its gonna be a long weekend, so try listening to Tim Mcgraw's love story album and Keith...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
NAIPENDA AFRIKA,NAIPENDA TANZANIA,KUMBE AFRIKA TUNAWEZA BWANA Nineteen of the top recording artists from across Africa, including D'Banj and Femi Kuti from Nigeria, DR Congo's Fally Ipupa, Cote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi n kwa nn Bongo movies nying solutions(mwisho wa kisa) zake huwa Kanisani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mimi kwa majina ni Matendo Andrew ni Gospel singer.lakini hapa nimekuja kama Manager wa Matendo Andrew. nahitaji mtu au kampuni nifanye nayo kazi, kazi ni hii hapa. nimesha record album...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/watch?v=KRaWnd3LJfs&list=RDKRaWnd3LJfs Nawakubali sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna jambo la kipuuzi ambalo kama mwananchi mzalendo inabidi kulifikiri nikawaza ivi jaydee akipata nafasi ya kwenda kuwakilisha Nchi Clouds hamtatangaza? Acheni wivu wa kurudisha maendeleo nyuma...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Enzi hizo hawa ndo walikuwa mavideo kwini bhana......nakumbukia tu https://www.youtube.com/watch?v=CE0HCm_w5Kc
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni kupata habari za msanii wa komedi aliyekuwa anaitwa Vengu, alikuwa mgonjwa, je yupo wapi? Au bado anaugua? Mbona wadau hatuna feedback?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiukweli radio ya watu .....Claus FM wamekuja na name jambo zuri sana la kuhamasisha uzalendo. Kea imani yangu najua Kuwa huu ndio muarobaini kukuza uzalendo ..that's role of media indeed.. Keep...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Uyo dogo chalii wa chuga(Douglas msalu ) amepoa sana. Anatuaibisha wa kaskazini aisee
0 Reactions
1 Replies
1K Views
It seems like a lot of people are catching up on this summer's movies. These 10 films, all released in summer 2013, were the most pirated movies using BitTorrent software last week, according to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Oyii hiphop juu.. Mmemuona mwana wa x-plastaz gsan anadondosha mistari ya kiswahili kwenye bet free stlye, pembeni machizi kibao tu wanafurahi, krs one anafurahia sana... Dah. Niliona kama niko...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau nimepata wazo kwa sisi wenye mapenzi na nyimbo za miaka ya nyuma tuunde ushirika wetu kwa kusaidiana nyimbo hizo.najua weng pia wamekuwa wakipata shida wapi pa kuzipata kutokana na kuwa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…