Kuna aina ngapi za Hip hop?

Kuna aina ngapi za Hip hop?

Kwa uelewa wangu Pac alikua anaimba Hip Hop ngumu (HardCore Hip Hop) kama ambayo anaiimba DMX japo Dmx ni ya ki gang sana (mwanzo mwisho anafoka)
 
hip hop ngumu inakwaje inachezeka club?maana ukiangalia nyimbo zao kama dmx na 2pac zinachezeka tu club
 
Kinachofanya mziki uchezeke au usichezeke club ni aina ya mdundo uliotumika na mdundo hautofautishi aina ya Hip Hop bali ni mashairi + flow ya mwanamziki ndio vitakufanya utafautishe..!!

Kuna midundo (beat's) za old xul hip hop hizo rapper yoyote anaweza tembea nazo na ndo zinapigwa sana club na kwenye freestyle
 
1.Mainstream Hip Hop au ya kisasa ambayo ipo Commercialized inazungumzia money,clubbing, galz,sex etc.Mainly,haina ujumbe mzito katika jamii.Sanasana wasanii hujigamba jinsi wana hela,nyumba,flossing with flashy cars,how gals are around them,bling blinging nk.I don't like such kinda hip hop. Here you'll find Lil'Wayne, lil wote unaowafaham
2.Underground Hip Hop .Talks about what's happening in the streets-what affects you and me eg drugs,guns,politics,diseases,poverty,segregation,love but more esp poetry.I like this kinda hip hop and artists like Juggaknots,The Unspoken Heard,Wu Tang Clan, The Roots,Mos Def,Talib Kweli,Nas(old skool).Mobb Deep,Dilated Peoples,Defari , Planet Asia,Common etc.
Mawazo yangu 2.
 
Ya pili kwa nini isiwe street hip-hop ambayo ndio hardcore!!!!!????
 
hip hop ngumu inakwaje inachezeka club?maana ukiangalia nyimbo zao kama dmx na 2pac zinachezeka tu club

Kiongozi wewe ni msanii au ndio unataka kuwa msanii?
...
Kwa uwelewa wangu, kuna ana nyingi sana za hiphop, but main xristic ya hiphop ni kuchana na mdundo usioendana na vina!

but sasa kuna mapinduzi ya mziki, yamefanya wasanii wengi kuimba miondoko tofauti, kuchanganya style na kubuni aina mpya za mziki, nadhani umeona r&b inavyochanganywa na hiphop, umeona wasanii wa miziki na mataifa mbali mbali kufanya kolabo mf: waswahili kuimba na wazungu, wamarekani vile vile wamarekani kuimba na wahindi nk nk!
...
Kuna pure hiphop!
Kuna hiphop katuni!
Kuna hiphop dansoo/ragga!
Kuna hiphop regge!
Kuna sweat/cool hiphop!
Kuna babilon/gengsta hiphop!
Kuna free style hiphop!
nk nk!
...
Mkuu kama unataka kuwa msanii sema tukutungie mistari!
 
Kwa maana hiyo hata bongo fleva inaweza ikawa hip hop!
 
Hiyo ya kwanza nafikiri ndio inaitwa hip hop majigambo !!
 
Kwa maana hiyo hata bongo fleva inaweza ikawa hip hop!

Exactly!
Ivi wewe unahisi wale kina Joe Makini, King Zilla, Nick Mbishi, Young Killer na Stamina wanaimba mziki gani?
...
Jee wewe ni msanii?
 
Hivi mtu anajiita 'thug' anayesema anaishi ndani ya thug life, akitegemea kwenda kupata thug mansion, unategemea ataimba hiphop ya aina gani, pac alikuwa anafanya hiphop tofauti tofauti kutokana na ujumbe, mfano, thug mansion, kafanya hardcore hiphop, mfano keep ur head up, kafanya soft hiphop, pac alikuwa mbunifu wa hali ya juu, mfano only god can judge me, kafanya hardcore hiphop lakini yenye staili nzuri ya kuchezeka na mdundo wa kushake, mfano dear mama, kafanya soft hiphop kutokana na ujumbe uliopo. Kiufupi pac was a genius.
 
tatizo ni kwamba kibongo mtu akifanya hip hop ya ki-comercial wanamwona siyo mwana hip hop,mfano kundi la tamaduni music,hip hop yao hata haiuziki au kuchezeka club,ila baadhi ya wana hip hop wanawaona ndo wanafanya hip hop halisi,wakati watu kama kina Godzila,nikki wa pili(hip hop laini )wanakimbiza sokoni.
 
Wabongo wanaishi kwa kukariri.
 
Kwa uelewa wangu Hip Hop ni utamaduni kamili ambao unajitegemea ila ndani ya huu utamaduni kuna elements ambayo moja wapo ni RAP au Emcee ingawa hii nguzo ndio ina nguvu sana ndio maana inawatajwa kama Hip Hop moja kwa moja.
RAP yenyewe ina genres zake zipo nyingi na zinaongezeka kutokana na badiliko katika jamii ila zipo zile kongwe ambazo zimezaa hizi zingine:-
1:Conscious hip hop hii inahusu ku-impart knowledge inazungumzia utoaji wa elimu na kuelimishana mfn "Alikufa kwa ngoma" hii ni conscious au "Miaka chini ya 18" etc
2:Hard core au gang star hip hop hii ndio oldest genres ya rap iko miaka mingi hii iko explicit kabisa unatumia maneno makali kufikisha ujumbe ni ya mtaani zaidi ina base kwenye utetezi ndio chimbuko lake haina uoga unaweza kumtaja mtu wazi wazi hata raisi na ukatumia lugha ya moja kwa moja hata matusi mfn "Hit 'em up" hapa bongo jiongeze mkuu.
3:Gospel hip hop hii ni moja kwa moja inagusa maishairi ya kidini so nyimbo zake hazina mipaka ya kusikilizwa agewise yaani wengine wanaiunganisha na hip hop soul na hazina warning la Parental advisor mfn Kanye West alitaka kujaribu kwenye Jesus Walk though ile albamu waliikata kwenye hii category kuna hadithi ndefu hapa.
4:Commercial hip hop au mainstream kwa kifupi hii genre ni ya majigambo hasa mostly mcee anajiimbia mwenyewe kwa kujisifia msikilize Joh Makini sana "mfalme" au Godzillah etc lazima utasikia mimi ni mkubwa,natisha,nakufunika etc hii genre inatoka mtaani inaenda studio na kuishia sokoni.
Naishia hapa kwenye genres za hip hop ila nimeziacha nyingi sana
Kwenye ni aina gani ya Hip Hop ambayo the late 2pac alikua anafanya mostly ni HARD CORE rap au GANG STAR joints nyingi ziliwakilisha mtaa (hood) na ngoma zake zilitokea mtaani zikaenda studio zikarudi mtaani kukamilisha hard core rap circle ingawa zipo joint ambazo zilikua Conscious Hip Hop ila ni chache zilikua pure mostly kulikua na u-gang star.
Nimejaribu kwa uelewa wangu kama kuna sehemu nimekosea nakubali kukosolewa.
 
Hivi mtu anajiita 'thug' anayesema anaishi ndani ya thug life, akitegemea kwenda kupata thug mansion, unategemea ataimba hiphop ya aina gani, pac alikuwa anafanya hiphop tofauti tofauti kutokana na ujumbe, mfano, thug mansion, kafanya hardcore hiphop, mfano keep ur head up, kafanya soft hiphop, pac alikuwa mbunifu wa hali ya juu, mfano only god can judge me, kafanya hardcore hiphop lakini yenye staili nzuri ya kuchezeka na mdundo wa kushake, mfano dear mama, kafanya soft hiphop kutokana na ujumbe uliopo. Kiufupi pac was a genius.

You are a 2pac fan...jaribu kuwa more open minded hutofautishe kwa kina aina za hip hop sio kuangalia msanii mmoja,na kwa Pac alisimama kutoa hizo unaita gangster/hardcore Rap kwenye THUGLIFE...baada ya hapo zote zilikuwa Commercial tu read my lips I cant blame him like JAY Z said "talk how u been in a project all day sounds stupid".sasa kuna hip hop ambayo wame-intergrate hio hardcore na commercial pata album km BIG "Ready to Die",pata Jay "Reasonable Doubts" hell hata "Black Album"ipo hivyo,sasa kuna cats km Common,Talib Kweli (M-Tz mwenzetu huyu),Rankim,Erick B (hawa km wa kizazi cha dot com itakuwa ngumu kuwajua) hawa ndo undergrounds rap au ita soul au vyovyote unavyojua ww...hizi ni sit back relax and listen hazi top chat lkn its a music u can listen with ur granny
 
we pia n shabiki wa big...pac was real mziki wake ulikua na utaendelea kua deep sana...he ws a gangsta anaimba hip hop ngumu iliyopevuka ndo maana mnazani hyo n komesho
 
Killuminat...mm ni fan wa HIP HOP na ndio nina album zao karibu wote na karibu zote!From Pac,Biggie,Jay,DR,Snoopy and sooo...na cant brag but hay am hip hop!ukisema ngumu km commercial ndo ipi?ndo nashauri weka ushabiki kando chambua mwanamuziki kiundani na namkubali BIG lkn nipo zaidi na "Best Rapper Alive"
 
cjakusoma kbsa wats yo point
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom