Inglorious Basterds

Inglorious Basterds

Alola

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
476
Reaction score
300
My favourite of Tarantino's work. Hii ndiyo movie iliyo mtoa Christoph Waltz (Hans Landa). Tarantino alifanya auditions nyingi sana mpaka akataka kukata tamaa ya kuondoa character ya Landa kabla ya Christoph kutokea. Alikuwa anamtafuta mtu atakayeonekana kama linguistic genius. Landa kapata zaidi ya tuzo 50 kwa hii movie moja tu ukijumuisha tuzo zote maarufu. Tarantino akaona apigenae kazi tena kwenye Django Unchained. Ila pale palikuwa pazito kwelikweli hata Di Caprio na umashuhuri wake alikiri kuwa kucheza pembeni ya Samwel Jackson na Christoph halafu ukaonekana ni shughuli pevu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom