kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,325
WIMBO : HELLO HELLO
MWANDISHI : LAMECK DITTO
PRODUCER: EMA THE BOY
STUDIO`: SURROUND SOUND STUDIO
CHORUS.
Nanyoosha mikono yangu juu, Naisifu nchi yangu maarufu.. x2
Helo helo Tanzania.. Tuimbee, Helo helo Upendo wa kweli. Tuimbee
Helo helo Tanzania.. Tuimbee, Helo helo Mapenzi ya dhati.. Tuimbee
Tuimbee.. Tuimbe.. Tuimbe.. Tuimbe..
VERSE 1.
Ikiwa sitakuwepo kesho yote niliyofanya kwa taifa langu..
Yatachipua na kuonekana tena..
Naisikia moyoni raha ya upendo huu..
Iliyonizunguka kwa ndani ya moyo wangu..
Kwasababu bendera itaendelea kupepea kwa uhuru..

VERSE 2.
Undugu na umoja wetu ni mikono iliyotushika
Inatuongezea thamani kwa majirani waliotuzunguka.
Naisikia rohoni raha ya upendo huu..
Kwasababu bendra itaendelea kupepea kwa uhuru..

REPEAT CHORUS TO END
Link ya wimbo hiyo chini
https://soundcloud.com/lameck-ditto/hello-hello-tanzania-written-1