Kim Jo Ngil
Member
- Jan 3, 2014
- 45
- 17
Kuna jamaa anadai huo mstari wa davido katika kolabo yake na Diamondo haijakaa sawa.
Kwa tafsiri yake ni kuwa Davido kamtoa diamondo kwenda kumngarisha huko lagos na kwengine.
From Tanzania to lagos..ama make you famous..una onaje huo mstari?