Habari ya siku ya leo wanajf,
Ni mategemeo yangu kuwa wote tupo wazima wa afya na tunaendelea na shughuli zetu kama desturi.
Leo nimependa nishiriki na nanyi ndugu zangu katika hili nililolileta...
WIMBO : HELLO HELLO
MWANDISHI : LAMECK DITTO
PRODUCER: EMA THE BOY
STUDIO`: SURROUND SOUND STUDIO
CHORUS.
Nanyoosha mikono yangu juu, Naisifu nchi yangu maarufu.. x2
Helo helo Tanzania...
WIMBO :
WATUNZI : LAMECK DITTO, AMINI MWINYIMKUU
PRODUCER: EMA THE BOY, TUDDY THOMAS
STUDIO`: SURROUND SOUND STUDIO
HOOK.
Utanzania wangu ni muungano wetu...
Msaada wadau website gani naweza ku-download music na videos FOR FREE...?toka kesi ya LimeWire natabika mitandao mingi ukiingia Longo longo kibao hakuna msaada
https://www.facebook.com/photo.php?v=905975176096746&set=vb.199633956730875&type=2&theater
Dr. Dre stands to make $1 billion on the proposed sale.
Apple is set to purchase Beats Electronics for...
One, two, three and to the fo'
Snoop Doggy Dogg and Dr. Dre are
at the do'
Ready to make an entrance, so back
on up
(Cause you know we 'bout had to rip
shit up)
Gimme the microphone first...
Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia aina moja ya muziki hapa Bongo
Leo Producer Lamar kaintroduce aina mpya ya muziki hapa bongo, kaleta kitu wanachofanya kina David Gueita, ni muziki wa kupigwa...
Nauliza ile nyimbo inatoka lini,nliona clip tu wakat wanaingiza vocals nikaipenda ss naona muda unaenda tu nyimbo haitoki.Kwa anayejua inatoka lini anambie nna hamu nayo sana.
Wale wapenzi wa country kwa ambao hawakuwa wanajua babu mzoefu Kenny Rogers ana album mpya inaitwa U can't make old friends, iko njema sana kama kawaida yake. Itafuteni iwapunguzie stress.
Kwa wale wanaomfaham huyu dogo album yake mpya inaitwa storyline imeshaanza kapatikana, kwa wanaomfatilia waipakue waenjoy vocals adimu. Kama humjui huyu dogo anaimba country ila yupo vzr
Fid Q ft Juma
Nature (verse1):Fid Q
Nilipotoka mbali na
ninaheshimu nilipo
sikuwa na umuhimu kihivyo
stimu zikanipa elimu ya Biko
Kimaandiko kimistari..
hadi fans wanascream nikirap...
The platinum ubarikiwe Ma hommie Wa kwap Leo waliokuimba dadamond.. Nahisi wote wamekuwa madadamond wao.awazalomjinga limemtokea Mbwiga ...wangesoma nyakat wasingethubutu Maj kupwaa Maji kujaa.ya...
Katika kile kipindi cha BANGO kinachorushwa na TBC ambacho kinahusu kuwakumbuka watu waliofariki kuna wimbo
huwa unaambatana na tukio hilo la kuwakumbuka wanzetu waliokwisha aga dunia, huu wimbo...