muziki unaoitambulisha tanganyika kimataifa

jiwe la maji

JF-Expert Member
May 17, 2014
1,062
702
watanganyika tuache uzushi wa kusema tanganyika haina muziki wake ukweli unabaki palepale kama muziki wa kuitambulisha tanganyika kimataifa ni muziki wa dansi ule wa asiri ya hapa mfano matimila ddc ottu vijana na sio akudo twanga wala sijui mapacha3
 
Back
Top Bottom