Kiriku
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 345
- 134
Hivi hawa wasanii wa bongo movies hawawezi kutengeneza movie bila kuweka sound tracks? Unakuta movie kuanzia mwanzo mpaka mwisho ni sound tracks tu hata maneno wanayoongea huyasikii.
Kwenye movies za wenzetu sound tracks zinawekwa kwenye tukio fulani ambapo watu wanakuwa hawaongei na wanapoanza kuongea sound inaondolewa.
Hebu tulijadili hili wana JF.
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app