TID ft JAY MOE - CHUMVINI NEW SONG,SIKILIZA APA

TID ft JAY MOE - CHUMVINI NEW SONG,SIKILIZA APA

Dah..jaymoe? namkubali sana huyu jamaa, kama kuna mtu ana mawasiliano naye anipatie nataka nimuweke serious....Anajua sana ila tatizo ni hajui thamani yake.
 
attachment.php


Mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga
 
nyimbo nzuri sana na T.I.D pia ni msanii mzuri sana ila akiendelea na ngada muda si mrefu tutakusanyika viwanja vya LEADERS kumuaga, kiukweli mziki anauweza sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom