Jamani usiku huu nimeangalia move moja, nimefarijika sana. Lkn sikupata jina la move. Lakini ni move lililorekodiwa mbuga za wanyama, ikihusisha game ranger, majangili, watalii na wenyeji. Wote...
Hi,habari zenu ndugu zangu,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila...
Funny moments ??
Do you remember if have any??
Please let me know through this discussion i have to do an assignment on FIFA world cup 2014 about people's reviews.
Kweli nimeamin huu msemo wa "maskini jeuri" ubakie kuwa msemo tu! kamwe usiuweke kwenye akili, kwajins hawa jamaa (mapacha) walivyokua waki'idis cLouds media group kwa matusi kbao tena ya nguoni...
Siri ya Mchezo -Fid Q ft Juma Nature (Hassbaby Blog) by Abby Hass - HulkShare
Napenda real hiphop. sio wauza sura na wabana pua. Kuna Vipaji vya ukweli kwenye bongo hip hop. Kuan Fid, Niki wa...
Zilipendwa ni nyimbo fulani nzuri za miaka kadhaa nyuma...kulikuwa na bendi kama sikinde,msondo,Dar Jazz,Kilwa Jazz na nyingine kibwena..
kwa mtazamo wako unadhani muimbaji gani ndie bora zaidi...
Nasikiliza wimbo wa Kikosi cha mizinga unaitwa Usipime wameimba na TID pamoja na Saigon, Humu ndani wanadai Kinondoni ndiyo waasisi wa huu muziki!!
Wanaijua vizuri historia ya muziki unaoitwa...
JAMANI KUMBE LEO NI MAADHIMISHO YA SIKU YA MAGEREZA(MAGEREZA DAY) TAARIFA YA HABARI ITV, IMENITOA MACHOZ BAADA YA KUWAONA BABA NA MWANA WAKIPAFOM WIMBO WAO WA "SEAH"
EEe tuwaombee hawa wasanii...
Huu ni mtazamo wangu kama wote tunasikiliza nyimbo za hawa wasanii utajua kweli walikikuwa nauzalendo wa kweli
WAUGUZI
wagosi wakaya tanga kunani
uhamiaji
mimi nadghani hawa nio wazalendo kwa...
nasikia umekosa tuzo za mama huko south. najua ulikuwa na matarajio makubwa ktk tuzo hizo ila hazikuwa upande wako. rudi nyumbani mwanakwetu njoo tutafakari pamoja juu ya kukosa kwako nionavyo...
Langa alifanikiwa kuumalizia wimbo wake ya mwisho ambao zaidi ulikuwa ukiyalenga/ kuongelea maisha yake kiujumla.
Siku akiifanya ngoma hiyo ndio siku aliyokutana na Julio Batalia aliyekuwa...
Binafsi sio mpenzi wa filamu za kiswahili hasa kutoka Bongo movie,Nimebahatika kuitaza filamu hii ya kigodoro-kantangaze na kunifanya niamini ni moja kati ya filamu bora kabisa za kitanzania kuwai...