Wapenzi wa cold play

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,930
2,000
Kwa wale wapenzi wa alternative rock msiache kusikiliza albamu mpya ya Coldplay ikienda kwa jina la GHOST STORIES ambayo imeimba maisha ya kweli ya vocolist Martin!
 

boda

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
212
250
Nimeicheki hiyo nyimbo ya ink iko poa sana, lakini video Yake naona Bado hawajatoa!
 

VeniGan

Senior Member
Feb 4, 2011
195
195
From "You might be a big fish in a little pond" to "Viva la vida" Coldplay rocks.. One of my 2011 best alternative rock band na album yao ya Myolo Xyloto.. Every teardrop is a waterfall, Paradise siishi kuziskiliza yani.. Usisahau Ghost Stories nina full album - digital download..
 

MUMU THE DON

Member
Jun 8, 2014
44
95
kati ya washabiki wa coldplay Tanzania mi namba moja ila nashangaa sku hz nmekuaj kua mvivu kias hik kwenye kufuatilia had wamefkia kutoa album mpya sjui lolote...du sory sana chris martin,will champions,buckland na mwenzen yule nmemsahau i promis to support u again kwa nguv mpya na kas
 

juve2012

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
3,339
2,000
When she was just a girl
She expected the world
But it flew away from her reach
So she ran away in her sleep
Dreamed of paraa paraa paradise
Paraa paraa paradise
Every time she closed her eyes
Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh oh oh!

Hapo inaitika distortion guitar,kwa kwa kwa kwa!ni balaa tupu!hii miziki ina utamu wake bhana!
 

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,930
2,000
When she was just a girl
She expected the world
But it flew away from her reach
So she ran away in her sleep
Dreamed of paraa paraa paradise
Paraa paraa paradise
Every time she closed her eyes
Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh oh oh!

Hapo inaitika distortion guitar,kwa kwa kwa kwa!ni balaa tupu!hii miziki ina utamu wake bhana!

Mkuu yaani ulivyomalizia post yako ni balaa mzuka!
 

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,053
2,000
Kwa wale wapenzi wa alternative rock msiache kusikiliza albamu mpya ya Coldplay ikienda kwa jina la GHOST STORIES ambayo imeimba maisha ya kweli ya vocolist Martin!
niliidownlloa hiyo album.ink ni nyimbo nzuri sana. jamaa naipenda sana album yao ya X&Y naonaga nyimbo zote nzuri na maneno yanasikika vizuri. umeisikkiliza battle born ya the killers?. kuna nyimbo inaitwa carry me home naipenda mno.
 

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,549
2,000
juve2012;When she was just a girl
She expected the world
But it flew away from her reach
So she ran away in her sleep
Dreamed of paraa paraa paradise
Paraa paraa paradise
Every time she closed her eyes
Oooh Oooh Oooh Oooh Oooh oh oh!

Hapo inaitika distortion guitar,kwa kwa kwa kwa!ni balaa tupu!hii miziki ina utamu wake bhana!
Haaahaaa kaka these guys are off the hook.kitu paradise hiyoooo.Kwenye hii album mpya napenda saaana wimbo wa magic,...ila tafuta wimbo unaitwa fix you its good
 

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,549
2,000
Jackbauer;Mkuu yaani ulivyomalizia post yako ni balaa mzuka!\
haaaahaaa i love that part aseeee,...niliona live show yao one time ni hatareeee saaana,sema kama unapenda distortion guitar tafuta band moja ya zamani inaitwa Fleetwood mac wimbo unaitwa isn't midnight,trust me you won't regret
 

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
16,549
2,000
hello lads,kama umewapenda coldplay then inawezekana ukawapenda THE SCRIPT album yao mpya inaitwa NO SOUND WITHOUT SILENCE,pia tafuta band moja inaitwa BASTILLE ya uingereza they are good
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom