JONASON
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 462
- 714
Msanii R.O.M.A mkatoliki a.k.a Ninja amedondosha bonge la track kwa jina la Maumivu akimshirikisha msanii Bob Junior na ndie producer wa wimbo huu toka sharobaro Record. Wimbo umetambulishwa siku ya leo na kifupi hiyo ni ahadi imetimia baada ya R.O.M.A kuahidi endapo Brazil itafungwa na Germany katika kombe la dunia basi atahama toka studio za Tongwe record na kwenda kurekodi studio za Sharobaro Record na baada ya timu ya Brazil kupigwa bao7basi leo ahadi ya R.O.M.A imetimia