King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,593
- 94,358
Umofia Kwenu wana JF,
Msanii aliyetamba miaka ya 2005 na kundi la Nako 2 Nako lord eyes amegongesha taya na watangazaji wa E.A radio kupitia segment ya Nyunyuzi kwamba next week anaachia ngoma kali ambayo imetayarishwa na producer wa weusi chizan The Brain.
~Ikumbukwe kwamba Lord Eyes yupo kwenye mapito ya kashfa nyingi za wizi na utumiaji wa madawa ya kulevya ambapo ikafikia kipindi kutoswa ndani ya kundi la weusi.