LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,900
- 37,696
Nilivyo ona picha hii hapa chini
Nikajua itakuwa bonge la ngoma!
Kwenda kusikiliza nakutana na u.p.u.pu . Sasa ndo muziki gani huo babu? Mashairi hayaeleweki, biti kama la underground wa mwaka 1997. Kaka kama vipi staafu tu muziki kaka, muziki huuwezi kaka. Pia unatakiwa kutuomba radhi mashabiki wako kwa kutupotezea muda wetu kusikiliza u.pu.pu kama huo.
USIPOKUBALI KUFA KIMUZIKI NA KUZIKWA KIMUZIKI, HAUWEZI KUFUFUKA KIMUZIKI.

<font size="4">
Last edited by a moderator: