Roma mkatoliki : Mwanakondoo

Roma mkatoliki : Mwanakondoo

nkosikazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
361
Reaction score
337
Niko kwenye gari nasikia mwanamuziki Roma Mkatoliki anaimba muziki wa vijana. Anasema mimi nakuabudu sana, eeh Mungu, lakini hujanisikiliza. Anaendelea kushangaa inakuwaje unawabariki watu waovu unatuacha sisi. Then anauliza hivi Boko Haramu wanamwabudu Mungu yupi ili wafanikiwe? Think about it.
 
Boko haram wanamwabudu Lucifer mwenyewe Mkuu wa mashetani maana wanayofanya hayampendezi Mungu mmoja tunayemjua. Na kila anayeua mtu kwa kisingizio cha kutetea imani yake ni mfuasi wa Lucifer maana Mungu wa kweli si dhaifu kiasi cha kuhitaji msaada ya binadamu kumtetea au kumpigania.
 
Mwenye hiii ngoma mpya ama ngoma nyingine Kali za hip hop naomba aniruhusu nimuinbox Namba yangu anirushue Watsup ntashukuru
 
"Najiona Mkuu Katika Kundi La Wafu, Japo Nilifunzwa Juzuu Nikamaliza Msahafu"
Roma Mwanakondoo.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom