boney m_mary's_boy child,_oh my lord. is my favorite x-mas song
nafarijika sana kila nikuusikiza huu wimbo na kujiona mweye thamani kubwa sana kufika kusherekea kuazimisha siku ya kuzaliwa kwa mkombozi wa maisha yetu.
Dunia ishangiliiieeee ni nuru imetuangaziaa
Katika mji wa dauudi Kristo Yesu amezalia.
Tazamaa kwa ajili yetu mtoto amezaliawaaaa
Kauaacha utukufu ili aje atuokeeeee
Jamaaani shangwee, shwangweee tushangiliieee
Simba wa yuda kaja kwa unyongeeeee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.