Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Nani mkali kati yao? Naomba mchango wako mdau. Mimi namuona Tbway360.. E.Mabere-WallPaper(StarTV) .. TBway360 - 5 Selekt (EATV)
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wiki moja imepita toka huu wimbo utoke. Swali: Je, unafanya vizuri kwenye radio stations na clubs kama ilivyokuwa kwa Mwana? Yalisemwa mengi sana, wengine mbaya, wengine bonge la wimbo, wiki moja...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Ila una mafunzo sana ukifuatilia kwa makini, jamaa ana mashairi kibao. https://www.facebook.com/video.php?v=1172953669385716&set=vb.157303284284098&type=2&theater
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu, Jana nimelipia tsh 20000 Azam tv ili niweze kuona channels zote ikiwemo VIASAT NATURE/HISTORY Channel lakin cha ajabu naambiwa access denied kwa baadhi ya channel ikiwemo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya duniani na mitandao inayomuonea ametoa filamu kuhusu maisha yake. Maisha ya Lizzie Velasquez mwenye umri wa miaka 26 yalibadilika kabisa baada ya kuona kanda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wote wanaohusudu huu wimbo na kuhisi kile kinachosemwa ni wao wanaowaambia adui zao, tiriririkeni hapa chini kwa ma verse ya mwendelezo wa wimbo huo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mwenye link ya wimbo wa aslay na beka uitwao YA MOTO naomba aniwekee niudownload. Hii ngoma naipenda sana kwa kweli. Hao madogo wana vipaji haswa. Dogo Aslay kaiua hiyo aya ya kwanza...
0 Reactions
65 Replies
23K Views
MATAZAMIO YA HIP HOP KATIKA LUGHA LAINI Hip Hop- ni aina ya muziki ambao unaimbwa kwa staili ya kurap/kufokafoka kwakuzingatia Vina vya Mashair. Aina za HIP HOP 1:HIP HOP...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nilikuwa namsikiliza John Dillinga DJ JD aliupiga huu wimbo ametaja na jina something kama AIMEX 123 sasa nimejaribu kusearch online sipati kitu kinachofanana na hiko,pengine labda hilo jina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Binafsi sio mpenzi sana wa nyimbo za Ommy Dimpoz lakini mtu anapojitahidi kufanya kitu kizuru ni muhimu kumsifia Hii video imefanyika kwa Madiba production ya Godfather kama kawaida I like the...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
wadau msaada wapi ntapata ile filamu ya'girlfriend Yakina GK;TD nk msaada jaman
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Kuna series(filamu) zilizodumu kwa muda mrefu sana mfano Isidingo,kwa anaefahamu ni series (filamu) ipi iliyotia fora kwa kurekekodiwa kwa muda mrefu? nani mtengenezaji wa script hiyo? sababu zipi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
JANA tarehe 13.3.2015 kulikuwa na wadau kukutana na kujadili kanuni za COPYRIGHT AND NEIGHBOURING RIGHTS COMMUNICATION TO THE PUBLIC REGULATION 2015. Katika kanuni hii kunatayarishwa njia rasmi za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yani hawa OK sikuhizi hawana jipya.... unaweza ukaangalia vipind 10 mfululizo ukabaki umekunja sura. Hawachekeshi. Mi naona wachekeshaji watakao kimbiza mpaka mwisho ni Mizengwe. RIP Orijino Komedi.
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Ninaangalia kipindi hapa kwenye Clouds TV cha Masudi Kipanya kinaitwa ''INAWEZEKANA''. Dah! Huyu jamaa ana akili nyingi sana huyu. Nilikuwa sijakielewa niliona ni kama Maisha Plus uuzaji sura ila...
5 Reactions
19 Replies
8K Views
Natanguliza shukurani, mwenye wimbo huu wa mlimani pack, sijui unaitwaje ila kuna mashairi yanaimba MUME HUYU C RIZIKI TENDE HALUAHALUA!! Nimejaribu kuutafuta cjaupata. nitashukuru wakuu.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
huku napo kaa times inaishika fresh sana lkin vipnd vyot cijacikia nyimbo ya Fid kupigwa hasa ktka bst show ya THE JUMP OFF
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natazama Cloud TV hapa naona Kalapina ana host kipindi kinaitwa " HARAKATI NA KALAPINA " a.k.a TANZANIA BILA DAWA ZA KULEVYA INAWEZEKANA. Da nikikumbuka enzi hjizo 2004/2005...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natumia neno kucause mass destruction, no physical attraction but my mind is beauty, am literary speaking so its a code now decipher, I decapitate weak MCs u'd say am Lucifer......
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Sijui anaitwa nani...sijui ni mtu wa wapi...na sijui kama kweli alikuwa anaucheza wimbo wa Ali Kiba. Ila nachojua ni kwamba hiyo shepu na hiyo miondoko inanipa midadi isiyoelezeka. Natamani...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…