Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Members.. Nimebahatika kuiona hii documentary ya nguli wa muziki wa miaka ya kati hapa (1977 - 1996) Ramadhani Mtoro Ongala au maarufu kama Dr. Remmy.. Kusema ukweli pamoja na kumfahamu Dr. Remmy...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
KUTOKUCHEZWA KWA VIDEO YA DIAMOND (NASEMA NAWE) KWENYE CHANELI ZA KIMATAIFA Kwanza nianze kwa kumpongeza diamond kwa kubadilsha aina ya muziki anaoufaya hii yote ni...
0 Reactions
116 Replies
14K Views
Kufuatia mafanikio ya misimu miwili iliyopita ya coke studio, coca cola company kwa kushirikiana na Kenya airways wanakuletea coke Studio season 3 Tofauti na show nyingine, show hii haiko...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naomba nitumie lugha kali kumkemea huyu Msanii mkongwe wa muziki wa B. Flava nchini, Juma Cassim Nature, maana naona wasanii wanazidi kutudharau na kutunyanyasa kwa sababu ya ubinafsi wao, shenzy...
4 Reactions
27 Replies
10K Views
Naibu waziri wa wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo ametoa tamko hilo hii leo kwenye hotuba yake bungeni kwamba kitendo cha msanii huyo ni kinyume na maadili ya mtanzania,kwa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Toka mwanzoni mwa wiki hii Diamond Platnumz na crew yake wamekuwa waki-tease vitu kwa mafumbo kuashiria kuna kitu kikubwa kinakuja. Diamond-Platnumz Kupitia Instagram Diamond ameshare fomu...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
These are my all time best 5. 1. Gold Diggers: The World's Biggest Bank Robbery (TV Movie 2006) - IMDb Paulo Sergio De Souza(Not his real name).The Mastermind "Around 8.30am on Monday, 8...
1 Reactions
4 Replies
9K Views
Haina ubishi kuwa amplifaya kimekuwa kipindi bora kwa sasa...watu wengi wameonyesha kukielewa. wasiwasi wangu mimi ni juu ya mwenendo wa mtangazaj wake milard ayo(mtangazaji wa radio anayependwa...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamani kuna jambo huwa nijiuliza sana hivi hapa Bongo kuna wasanii ambao ni maarufu sana, lakini hawajawahi kutoa video za nyimbo? Mkuu kama unawajua tutajie hapa.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Diamond tiketi zaidi ya elfu60 ziliuzwa uwanja ulijaa full
2 Reactions
87 Replies
9K Views
Binafsi huwa napata tabu sana kumuelewa mtu (tena anaeishi 'Africa') ambae anaubeza utamaduni wa hi-hop, in particular muziki wa hip-hop, achilia mbali graffitis ambazo ni meaningful mode to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
This means that Toddler Takeover gives you the opportunity to GET INVOLVED and have fun with your little one instead of just watching from the sidelines, however if you do just want to relax and...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Kwa bei rahisi kabisa unajipatia Tv series zilizotajwa hapo juu. kwa tsh 3000 unapata season 1 na pia kama utakuwa na nyingne ambayo utaichagua wewe unaweza kuopata kwa tsh 5000 kama haipo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Wadau pamoja na mizengwe yote inayofanywa. Mimi natabiri Diamond kuchukua tuzo kumi mwaka huu sababu kajitokeza kwenye vipengele 10 huku anayemfatia kwa nominations ana category 5...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamani naomba munisaidie natafuta huu wimbo niliuona mara1 ulipigwa kwenye channel flani tena nilikuta mwishoni kabsa, Kaimba mdada kama ckosei then humo ndani kama anahang around kwa town hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama upo katika muziki na unataka kuendelea usikose kusoma USHAURI HUU (chini). tulia soma by Godwin Tom Hi Guys… It's been a while… Way over a year! Missed me? Brief...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Licha ya kuwa ni wimbo mzuri wenye mpangilio wasauti na waimbaji,pia una ujumbe muhimu sana kwenye jamii yetu, Hivi tumekwisha kaa tukawaza kuwa kutoa mimba pia ni kosa na ni dhambi kubwa sana...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kubali ukatae lakini huo ndo ukweli watoto wa oysterbay, masaki na mitaa ya kizungu mikoa mbalimbali wanaofuatilia hii aina ya mziki wachache sana. Hiphop ina mashabiki wengi sana usipinge...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Kwa wale wapenzi wa magame kama mimi naombeni msaada wa kupata update za fifa 14 au free fifa 15
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…