sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Members..
Nimebahatika kuiona hii documentary ya nguli wa muziki wa miaka ya kati hapa (1977 - 1996) Ramadhani Mtoro Ongala au maarufu kama Dr. Remmy.. Kusema ukweli pamoja na kumfahamu Dr. Remmy kuna mengi sana ambayo nimeyajua kwenye hii documentary.. Nimeona niiweke hapa ili members muone pande zote za gwiji huyu.. kauli na nyimbo zake tata, ujumbe wake kwa wanyonge wenzie na kila kitu.. Pia ameshiriki rafiki yake Cosmas Chidumule ambae sasa ameokoka na anatangaza injili.. Kuna kila kitu humu, kuanzia vicheko, vijembe na kauli tata.. Unajua kwanini aliitwa mtoro..? Angalia hii na hakika utashngaa..!

Last edited by a moderator: