Who knows this song?

Who knows this song?

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
896
Reaction score
568
Jamani naomba munisaidie natafuta huu wimbo niliuona mara1 ulipigwa kwenye channel flani tena nilikuta mwishoni kabsa,
Kaimba mdada kama ckosei then humo ndani kama anahang around kwa town hivi cjui ni Kenya pale ? ama wapi alafu kuna marasta man hivi!
Dizain kama unaimbwa kukuu kuuuku alafu blah blah blah.
Guys help please msinitukane nisaidieni nimekwama
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom