Ally Kiba kuungana na 2 face, J. Chameleon na wengine katika Coke Studio Season 3

Mchiwa Ng'ambaku

JF-Expert Member
Jan 24, 2015
959
803
Kufuatia mafanikio ya misimu miwili iliyopita ya coke studio, coca cola company kwa kushirikiana na Kenya airways wanakuletea coke Studio season 3

Tofauti na show nyingine, show hii haiko kimashindano bali imelenga kuonyesha vipaji vya wasanii mbali mbali Africa na pia inatoa fursa kwa wasanii wanaochipukia kufanya kazi na wasanii wakubwa na wa kimataifa.

Msimu huu mpya utajumuisha wasanii kutoka Nigeria, Mozambique, Tanzania, Kenya na Uganda.

Ambapo Tanzania itwakilishwa na Vanessa Mdee, Ally Kiba na Ben Pol.
Na katika production atakwepo Nah Reel.

Nigeria watakwepo 2face Idibia, MI, Flavour,
Olamide, Ice Prince, Seyi Shay, Chidinma, Yemi Alade, Eva and Di’Ja.
Kenya itawakilishwa na Avril, Wangeci na Elani.

Uganda watakwepo J.Chameleon na Keko,

Wakati Mozambique watakwepo Neyma na Dama Do Bling

26 african musicians for coke studio

My take.
Huu ndo wakati wenu sasa Ally Kiba na Ben Pol kuchukua fursa kupiga hatua kuutangaza music wenu kimataifa.
Vanessa Mdee sina wasiwasi nae huyu sista najua ni mchakarikaji sana, alionyesha uwezo msimu uliopita.
 
Duh Nigeria wanaenda wengi

All the best V money, Kiba na Ben Paul. Mkatafute network mtangaze Tz vema.
 
Shaa,JIDE na Joh makini pia wametoka huko!No difference!

Atleast Joh amepata exposure kafanya video ya nusu nusu Sauz na inafanya fresh. Pia collabo na A.K.A wa S.A inakuja hiyo kaunganishwa na Mchomvu. Big up Mchomvu.

By the way huyu Shaa ana kipaji ila simuoni akijishughulisha kwenda international wakati she can do it atleast angejaribu hamwoni V money anavyohustle? duh wabongo bana.
 
Kufuatia mafanikio ya misimu miwili iliyopita ya coke studio, coca cola company kwa kushirikiana na Kenya airways wanakuletea coke Studio season 3

Tofauti na show nyingine, show hii haiko kimashindano bali imelenga kuonyesha vipaji vya wasanii mbali mbali Africa na pia inatoa fursa kwa wasanii wanaochipukia kufanya kazi na wasanii wakubwa na wa kimataifa.

Msimu huu mpya utajumuisha wasanii kutoka Nigeria, Mozambique, Tanzania, Kenya na Uganda.

Ambapo Tanzania itwakilishwa na Vanessa Mdee, Ally Kiba na Ben Pol.
Na katika production atakwepo Nah Reel.

Nigeria watakwepo 2face Idibia, MI, Flavour,
Olamide, Ice Prince, Seyi Shay, Chidinma, Yemi Alade, Eva and Di'Ja.
Kenya itawakilishwa na Avril, Wangeci na Elani.

Uganda watakwepo J.Chameleon na Keko,

Wakati Mozambique watakwepo Neyma na Dama Do Bling

26 african musicians for coke studio

My take.
Huu ndo wakati wenu sasa Ally Kiba na Ben Pol kuchukua fursa kupiga hatua kuutangaza music wenu kimataifa.
Vanessa Mdee sina wasiwasi nae huyu sista najua ni mchakarikaji sana, alionyesha uwezo msimu uliopita.
​Ni kweli jamaa wangu wa KUNDUCHI ANASTAHILI KUWEPO KWASABABU UNAPOWATAJA WASANII WANAOCHIPUKIA NAYE ANAKUJA KWA KASI SANA HONGERA YAKE ALLY KIBA
 
:sly::sly::sly:
Msanii chipukizi Africa anaungana na kina Ben Pol kwenda kuchipuka
 
Kufuatia mafanikio ya misimu miwili iliyopita ya coke studio, coca cola company kwa kushirikiana na Kenya airways wanakuletea coke Studio season 3

Tofauti na show nyingine, show hii haiko kimashindano bali imelenga kuonyesha vipaji vya wasanii mbali mbali Africa na pia inatoa fursa kwa wasanii wanaochipukia kufanya kazi na wasanii wakubwa na wa kimataifa.

Msimu huu mpya utajumuisha wasanii kutoka Nigeria, Mozambique, Tanzania, Kenya na Uganda.

Ambapo Tanzania itwakilishwa na Vanessa Mdee, Ally Kiba na Ben Pol.
Na katika production atakwepo Nah Reel.

Nigeria watakwepo 2face Idibia, MI, Flavour,
Olamide, Ice Prince, Seyi Shay, Chidinma, Yemi Alade, Eva and Di'Ja.
Kenya itawakilishwa na Avril, Wangeci na Elani.

Uganda watakwepo J.Chameleon na Keko,

Wakati Mozambique watakwepo Neyma na Dama Do Bling

26 african musicians for coke studio

My take.
Huu ndo wakati wenu sasa Ally Kiba na Ben Pol kuchukua fursa kupiga hatua kuutangaza music wenu kimataifa.
Vanessa Mdee sina wasiwasi nae huyu sista najua ni mchakarikaji sana, alionyesha uwezo msimu uliopita.
Hongera yake kiba kwa kupata bahati ya kuonekana pamoja na kwamba kuna wasanii wengi wanaochipukia ila yeye kawazidi andagraundi wenzake
 
:sly::sly::sly:
Msanii chipukizi Africa anaungana na kina Ben Pol kwenda kuchipuka
Wale jamaa zangu wakina lukelo sakafu hebu njooni muone kijana wetu alivyoweza kuonekana hata kimataifa kuwa ni chipukizi anayehitaji kukutanishwa na wasanii wakubwa ili aweze kusonga mbele
 
Shaa,JIDE na Joh makini pia wametoka huko!No difference!
Issue sio kutoka huko huko... cha msingi ni namna gani mtu anaweza kuchangamkia na kuzitumia fursa zilizokuzunguka! Endapo si mtu wa kuzitumia fursa, unaweza kupata bahati ya kukutana na mtu kama Chris Brown na ukakaa nae sema kwenye academy x kwa mwezi mzima lakini ukaishia kupiga nae picha tu! Kwa mtu kama Kiba au Diamaond, and in fact hata huyo Jide, kama wanapata fursa kama hiyo na tatizo likawa mkwanja wa kumlipa star basi wapo wadau ambao wanaweza kufadhili show!
 
Wale jamaa zangu wakina lukelo sakafu hebu njooni muone kijana wetu alivyoweza kuonekana hata kimataifa kuwa ni chipukizi anayehitaji kukutanishwa na wasanii wakubwa ili aweze kusonga mbele

Hongera yake kiba kwa kupata bahati ya kuonekana pamoja na kwamba kuna wasanii wengi wanaochipukia ila yeye kawazidi andagraundi wenzake

:sly::sly::sly:
Msanii chipukizi Africa anaungana na kina Ben Pol kwenda kuchipuka

Mna chuki tu mnaposema anaungana na chupukizi,kina 2 face ,Jose chamillion na hao wanaija wote ni chipukizi?
Chipukizi nani hapo?
 
Kina J.Chameleon na 2face hawapo level sawa na kina Ally K na Ben Pol mkuu huo ndo ukweli me huwa sina chuki na wasanii wetu wa bongo linapokuja suala la kuutangaza music wetu kimataifa. Hata kama sio shabiki wa huyo msanii nitajivunia siku nikisikia anavuma kimataifa atleast hata nchi mbili tatu wamjue!
 
wale wenye roho mbaya nawaona eti chipukizi llloooh waone kwanza
jide,shaa na daimond walikuaga chipukizi etii
minafki nyie na roho zenu mbaya
mtaishia hvyo hvyooooo
haooooooooo haoooooooo
na roho zenu km mmezaliwa chooni vile
 
Hahahaaa kazi kwetu team winners!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom