Wimbo wa Chadema Chadema People's Power

Wimbo wa Chadema Chadema People's Power

Chenge

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
1,073
Reaction score
378
Wakuu kama kuna mtu mwenye huu wimbo tafadhali naomba auweke hapa niweze kuupakua. Biti la huo wimbo huwa linanikosha sana!
 
na ule wa "ushindi unakuja chadema" tafadhali tunaomba mtuwekee
 
Huo wimbo wa chadema chadema una mizuka ambayo sio ya kawada....nahis alie uimba hakua ktk har ya kibinadamu
 
Back
Top Bottom