Sylivester kassa
Member
- Jul 10, 2015
- 38
- 1
Tuliza boli dogo. Mafanikio yanataka subira na siyo kutoa povu. Nawe siku moja kiblog chako kitakuwa famous. Don't panic na usikate tamaa.Wewe kama hutaki kuingia pita pembeni kha!! Tanzania tuna hasara kubwa sana kubali mwenzako anachokifanya sio unafiki .Angalia mbele ww