jay311
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 2,932
- 2,722
Rejea kichwa husika hapo juu... wadau mm ni msanii mchanga na nilikuwa naombeni mnisaidie contacts za Gabo wa bongo movie,iwe ni namba za simu au email... nitashukuru sana kwa msaada wenu...pia ningeshukuru kama hata ningepata walau namba ya mtu wa karibu atakaye niunganisha na gabo(contacts)....mawasiliano yangu ni 0715289314 ...I will be thankful for any cooperation that i will get from you....