Chanzo Cha Star/Superstar/starring/rising star kwa nini Nyota ???

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
May 26, 2015
914
566
Kwa nini watu hawa maarufu waigizaji wa movie/wanamichezo tunawaita nyota na sio kitu kingine.

Yawezekana haya mambo walikubaliana miaka ya zamani wakiwa hawana uelewa wa kutosha? au ni mtu mmoja aliyekuwa maalufu akijiita hivyo ikapelekea wengine waige?

Maana nyota ni ndogo sana kwa muonekano kutokea duniani, Nyota huonekana na wakati mwingine hupote, nyota hutoa mwanga hafifu sana, nyota haziwezi kukusaidia kuona ukiacha jua.
Nyota ziko mabillioni na mtu mmoja kufananishwa na vitu vingi namna hiyo wakati lipo jua moja au mwezi ni rahisi kulinganisha na mtu mmoja kuliko mtu mmoja kwa witu vingi.

wajuvi wa mambo tutoane ushamba kidogo katika hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom