Scofied
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,456
- 1,692
Heshima kwenu wakuu
Nimeangalia hii filamu ya manyani na imenivutia sana..nabaki najiuliza inakuwaje hawa manyani wanaact hivi!? au mimi ndo sielewi!?
kwa yeyote anayejua junsi hizi movie zinavyoaactiwa na je hawa kweli ni manyani au ni watu!?
Tutoane matongo tongo wakuu