Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kipindi cha jahazi kipo hewani muda huu, Diamond kaalikwa, moja ya maongezi yake, kailalamikia serikali kwamba wanadai kodi bila kuangalia wao wanavyodhulumiwa kwenye nyimbo zao, ambacho ni kweli...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
work lyrics I was wondering have you spotted anything that happens in the movies or on TV that just does not happen in real life, such as: 1 When it lighting it always thunders at the exact same...
1 Reactions
2 Replies
764 Views
Naomba kutanguliza salamu kwenu wanaJF. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi licha ya fuksa uliofanya na wahusika wa shindano hili na kuwadanganya watanzania kulikoni kulirudisha tena...
1 Reactions
2 Replies
700 Views
Aisee mi nataka kumsaidia idris sultani kwenye research yake, etttt anasema ile song ya mkali WA kimataifa baba tttttt au wenyewe wanamuita eti simbaaa! Kwamba song lake la Salome limebuma kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cristabel Clack | Your Presence Is Heaven
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Wizara ya Habari yaruhusu wimbo na video mpya ya wimbo wa Snura 'Chura' kuchezwa baada ya kufanyiwa marekebisho na kukubaliwa.... ================ Leo october 5 2016 Mrembo kutoka Bongoflevani...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nimeona leo kwenye baadhi ya magazeti na blog,Kwamba Bella apagawisha ikulu kwenye dhifa iliyoandaliwa na Mkuu wa nchi kwa mwenzake wa DRC,Nimegundua Kulikuwa pia na wanamiziki wengine...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Imma The Boy! Keeping the Good Music Alive!! [Ben Pol Naona raha, nimepata furaha maishani Na kila saa, naona nuru iking'ara moyoni Na kama wao walidhani hatutadumu pendoni Tizama leo watuona...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Hivi haya mambo yapo kweli wadau au ni story tu, fungua link hapo chini. Fungu Link y kwanza, ukiishasoma then angalia hiyo clip link namba mbili: 1. Sell Your Soul To the Devil 2.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kwa wapenzi wa hii series season 3 imetoka episodes mbili zimeshatoka.n
1 Reactions
2 Replies
992 Views
Nimesikiliza sana nyimbo ya Jay-D ambavyo imerudiwa na watu wa nje ya nchi na nimepata faraja ghafla. Ana kipaji cha kipekee sana huyu dada yetu, (She's Original). Wimbo huu ukiusikiliza vizuri...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Lady Jay Dee anastahili pongezi kubwa katika nyimbo yake hii mpya ambapo amegusa vijana waleo walio amua kuishi maisha ya ajabu yaliojaa starehe na usaliti ktk ndoa .....Viva dada Jide na hongera sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi Guys! Naombeni wenye nyimbo kali za clubs, romantic songs, na nyimbo flan za ku courage mtu mnitumie tu jina la msanii na jina la nyimbo, niitl
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba mnisaidie jinsi ya kuipata tamthilia ya La Revancha iliyowahi kurushwa na chanel ya TBC1 enzi hizo ikiitwa TVT.Nimejaribu mitandaoni kwa uelewa wangu lakini sijafanikiwa.
1 Reactions
4 Replies
822 Views
Naomba ucheki hii video then naomba comments.
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Jamani nimekuwa addicted na Horror movies. Nampenda sana kuangali hizi movie usiku kabla yakupata usingizi. Naangalia hizi kupitia simu yangu ya android. Pia napenda kuangalia action movies zile...
2 Reactions
70 Replies
8K Views
FILMON TV FREE LIVE TV MOVIES AND SOCIAL TELEVISION Watch and Record over 500 LIVE TV Channels for free! Local TV too! Bigger than Netflix and Hulu and TV Catchup and Zattoo combined! We host over...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yes the waiting is Over, birthday ya fulani imeingiwa mchanga Video ni kali sana, very unique, directed by Mejialabi, Set in South Africa Note: sio kama zile video zao za kucopy na kupaste...
4 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…