Salome ya Dully Sykes vs Salome ya Diamond

Deadbody

JF-Expert Member
May 30, 2015
4,276
6,585
Aisee mi nataka kumsaidia idris sultani kwenye research yake, etttt anasema ile song ya mkali WA kimataifa baba tttttt au wenyewe wanamuita eti simbaaa! Kwamba song lake la Salome limebuma kwa yule Salome wetu WA miaka illeeeee!

Ya mheshimiwa WA kariakoo yaan dully Sykes kwamba IPO poaw we unaonaje; Macho kodo kodo kii akidanganyi mams umejipodoa umepodoka vs ssalome juu ya kaburi lako nalia aahahaa kilio nakisikia dk za mwisho mpnz wangu najutia kosa nilokufanyia,

Hebu comment hapo
 
Aisee mi nataka kumsaidia idris sultani kwenye
research yake, etttt anasema ile song ya mkali
WA kimataifa baba tttttt au wenyewe wanamuita
eti simbaaa! Kwamba song lake la Salome
limebuma kwa yule Salome wetu WA miaka
illeeeee! Ya mheshimiwa WA kariakoo yaan dully
Sykes kwamba IPO poaw we unaonaje;
Macho kodo kodo kii akidanganyi mams
umejipodoa umepodoka vs
ssalome juu ya kaburi lako nalia aahahaa kilio
nakisikia dk za mwisho mpnz wangu najutia kosa
nilokufanyia, hebu comment hapo

Jitu zima unashindwa kuandika. hujui kituo, koma, wala aya. Wa wapi wewe? Jirekebishe hata kama bado mtoto wa kifacebook.
 
Back
Top Bottom