Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Naipenda sana hii movie, nilikuwa siyo shabiki sana wa movie za kigabachory lakin hii ndo ikafungua pazia ,na tangu hapo nimekuwa nazifuatilia kila napopata nasafi. Ni movie Nzuri inayoquestion...
6 Reactions
82 Replies
11K Views
Kama bandiko linavojielezanaomba kama unajua vitu mbalimbalina mambo yanayomuhusu 2pac naomba kujua ,......kwa sababu kuna kibao kimoja nimepitia mashairi yake nikajua jamaaa alikuwa ni zaidi ya...
1 Reactions
0 Replies
681 Views
Hivi jamani unampeleka Ali Kiba kwenye tuzo kubwa kama hizi kwa nyimbo gani kwa kipi alichokifanya hawezi kuchukuwa hata namba mbili mimi nasema zile ni tuzo za africa sio kili jamani anaenda...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Mwanamuziki wa kimataifa anayeshika namba mbili africa nzima kuwa na followers 2.7million nyuma ya David Adeleke Adedeji AKA Davido, Diamond Platnumz au ukipenda muite Simba vampire leo ametoa...
27 Reactions
579 Replies
114K Views
I'd like to share this video. Diamond Platnumz - Ccm Number One Powered by TubeMate (TubeMate YouTube Downloader 2.2.8 - Official Website)
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Salaam Wakuu. Sasa Hivi Star Tv Kuna Kinondoni Talent Search.Muandaaji Ni Paul Makonda,mkuu Wa Wilaya Ya Kinondoni.Ni Jambo Zuri Lakini Hakuna Maofisa Utamaduni? Mgeni Rasmi Ni Mh.Rais Wa JMT...
2 Reactions
99 Replies
14K Views
wakuu naomba mnijuze singeli nzur nizidowload. nimetokea kuupenda sana huu mziki.
1 Reactions
3 Replies
5K Views
This used to be a staple on Yo! MTV Raps! with Ed Lover and Dr. Dre back in 93! Damn! How I loved and looked forward to watching this show every Saturday morning back in the day... 1. Souls of...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalam wana jf,ivi karibu kwenye kingamuzi cha star times naona majaribio ya ujio ya tv mpya kwa lugha ya malkia(signal test) je ndio ujio mpya kwa tabibu aliyefungiwa na serikali kutoa huduma ya...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kumekuwa na application nyingi nzuri katika smartphone zetu ila mimi sizifahamu.Ila baadhi ya ninazo zijua ni PARALLE SPACE ambayo hii ukuwezesha kutumia whatsap mbili,insta mbili,facebook mbili...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nilikuwa sijui Dre na Suge wana mwanamke wamezaa nae kila mmoja na mtoto wake sipati picha inakuaje....unazaa na mwanamke anakuja kuzaa na adui yako watoto sijui mnawaleaje? watoto wa mama mmoja...
3 Reactions
73 Replies
7K Views
raggae ni tofauti na miziki mingine ni mziki ambao hauchuji hata kidogo hasa ukiwasikiliza lucky dube .Dube alikuwa mtaalamu sana wa kinanda sikiliza wimbo .Back to my root vinanda humo...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
kuna wimbo kashilikishwa Ali kiba sijui umeimbwa na nani,sijui jina la wimbo ila unapoanza jamaa anasema'anataka aonekane kwenye gazeti auze sura' msaada plz
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Je wajua haswaaa inatakiwa ifanywaje hii blowjob?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nafsi ya mtu ni jumba,jba la giza totoro, Tena lenye vingi vyumba,usiyojua zoke kasoro, Waweza kuhisi cha simba, kumbe chumba cha kongoro, Nafsi inabeba mengi, ni siri ya mwenye nayo. Machoni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyimbo inaitwa 'how long''....daaah jamaa karudi vizuriiiiii sanaaaa...big up kwake maaana tulimis fleva zake mda mrefu sanaaaa....kama kawa Sony music wamesimamia mpango mzima mpaka Davido kapata...
0 Reactions
2 Replies
723 Views
kwa wale wapenzi wa Tv shows {series} za wamarekani...mara ngapi umekuta wakitumia kiswahili japo sentence mbili tatu ivi...daaaaa huwa nasikia raha sana nikikutana na hihi hali...for...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Riwaya: FORGIVENESS OF MAMA! Mwandishi: SEID BIN SALIM SEHEMU YA 06 bora nikose kibarua kwa ajili yako madam, naomba unisubiri hapo nje niende nimwambie nimeacha kazi ili japo tuongozane nipajue...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…