Thank You God, Finally namiliki Yangu!

Thank You God, Finally namiliki Yangu!

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2016
Posts
284
Reaction score
396
Leo nimefurahi sana baada ya kupata kifaa cha [HASHTAG]#TECNOPhantom6Plus[/HASHTAG] chenye camera 21#megapixels na 4GB #RM, kiukweli nakula burudani kisawasawa. Mfukoni inamilikiwa na mimi mwenyewe, chezea!
fetch

TECNO Phantom6 Plus suits My Pockets!
 
Kwa hiyo hadithi yako inatufundisha nini??
 
Magufuli kafanya hata kumiliki TECNO ni 'achievement'

Kuna watu masikini wewe. Kuna familia iliweka kikao kujadili kununua dawa za mgonjwa bahati mbaya nilikuwepo maeneo hayo, kuuliza dawa shilingi ngapi nikaambiwa elfu thelathini na anatakiwa kununua mara mbili. Nilijifanya namjua Dr atanipa bure hizo dawa ili wao sasa wakafanye shughuli zao maana walialikana hadi kutoka Mbagala.
 
Nafahamu hilo lipo...
lakini kama Magufuli kalizidisha sasa
 
Bro nimesafa na vibatani sana! Hii ndo mara yangu ya kwanza kumiliki angalau simu yenye hadhihadhi, furaha tu yaani.
Dah!
Mkuu nimeingiwa na hali fulani fulani ivi baada ya kusoma hili

Hongera sana mkuu

Usitembee nayo usiku sasa wasije wakakupora ukavirudia vibatani
 
Hongera kwa kuwa mmoja wa wamiliki wa hiyo kitu bongo.
 
Shati la chadema alama ya kidole ya ccm, tukuelewe vipi bro?
 
Back
Top Bottom