Tumaaa

Tumaaa

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
1,670
Reaction score
767
Wakuu haka kawimbo leo tangia najiandaa kuingia job kanagonga akilin mbaya sanaaaa

Tumia akili kukatafakari mbona hakachuji

Contents za akil
 
Ndio nauona leo,sasa ivi
Mbona wimbo mbaya
 
Hahahahhahaaa naupenda sana saaaaana huu wimbo.....inanikumbusha miaka hio when mapenzi yalipokua mapenzi
 
Umenikumbusha mbali sana,diamond kamshirikisha nani vile?
 
Hahahahhahaaa naupenda sana saaaaana huu wimbo.....inanikumbusha miaka hio when mapenzi yalipokua mapenzi

hahahahahahahahahah ulikuwa ukimpa mwanamke pesa kidogo tu anaiweka ukipata shida anakurudishia walikuwa wanapenda kweli sio huu mchwa uchwara
 
hahahahahahahahahah ulikuwa ukimpa mwanamke pesa kidogo tu anaiweka ukipata shida anakurudishia walikuwa wanapenda kweli sio huu mchwa uchwara
Mitongozo ilikuwa mpaka kidume ujipange.
Mambo yanabadilika Sana mda mwingine mabadiliko ni mazuri mda mwingine ni mabaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom