Saleh Jabir nyota iliyosahaulika

Saleh Jabir nyota iliyosahaulika

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,742
Reaction score
8,798
Miongoni mwa waasisi wa muziki wa kufoka foka Tz ni huyu jamaa. Kwa wale wa umri wa kati nadhani wanamkumbuka vizuri sana ktk tasnia ya muziki. Alifungua milango ya kurap kwa kiswahili jambo ambali wengi hawakuwaza kama ingewezekan. " walicheza makarata balazani kwatu wakaacha kumbe" ni baadhi ya mashairi ktk nyimbo zake. Alikiwa ni nyota aliekuza lugha ya kiswahili na mziki wa hip hop pia. Lakini chakushangaza nyota huyu hatajwi, utasikia tu wanatajwa akina Sugu, Profesor J na wengine ili hali walianza mziki baadae sana. Je kizazi kipya wengi hawamfahamu na hawafahamu historia ya hip hop Tz? Na je kwanini wakongwe hawatambui mchango wa huyu mtu ktk hip hop?
 
Nilikuwa na album yake, ilipote nikasikitika sana
 
nakumbuka wakati mdogo kuna jamaa alikuwa anaitwa black moses
basi bana tulienda disco vumbi siku hiyo na bro wangu ambae alikuwa mkorofi afu mbabe hapa mo town.jamaa wakati sijui anarap sijui anaghani akawa anasema moshi kilimanjaro sema si hechi dabo oooo watu wanaitikia kwa nguvu si hechi dabo oooo!
kuna jamaa akamfata bro akamwambia jamaa anatuita sie CHOO!
braza alikuwa kilaza hajui hata kusoma enzi hizo ila ngumi anaziweza kinyama!na alikuwa anatembea na dazani ya viwembe na bisibisi!
alichokifanya aliibeba amplifaya kubwa akamrushia black moses akaenda nayo hadi chini jamaa akazimia bro akaenda na kiberiti cha gesi akamuinua mkono afu akamuwashia jamaa kwapani acha akurupuke mbiooo.
 
".....Kama sikupendi yoo kacheze sitapenda wengi kama Maumba..."
 
nakumbuka wakati mdogo kuna jamaa alikuwa anaitwa black moses
basi bana tulienda disco vumbi siku hiyo na bro wangu ambae alikuwa mkorofi afu mbabe hapa mo town.jamaa wakati sijui anarap sijui anaghani akawa anasema moshi kilimanjaro sema si hechi dabo oooo watu wanaitikia kwa nguvu si hechi dabo oooo!
kuna jamaa akamfata bro akamwambia jamaa anatuita sie CHOO!
braza alikuwa ****** hajui hata kusoma enzi hizo ila ngumi anaziweza kinyama!na alikuwa anatembea na dazani ya viwembe na bisibisi!
alichokifanya aliibeba amplifaya kubwa akamrushia black moses akaenda nayo hadi chini jamaa akazimia bro akaenda na kiberiti cha gesi akamuinua mkono afu akamuwashia jamaa kwapani acha akurupuke mbiooo.
I guess ilikua dabo road pale ilipo Newcastle hotel ss bila shaka
 
Siku hizi yupo na ladha 3600 ..efm
 
Back
Top Bottom