Sefu jafary
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 382
- 258
Axe wadau kunafoleni zina kera hadi kero,hii hutokana na mda ambao watu hutumia kupata huduma mbalimbali kama za kibenk,huduma za matibabu,chakula n.k.Binafsi foleni inayotumia zaidi ya lisa limoja naichukia sana.
Katika foleni zote ila kunafoleni moja ya chanjo ya sindano sitoisahau..Kwanza mwenye ni muoga wa sindano,na mbele yangu walitangulia waoga wenzangu,zile kelele walizokuwa wanapiga nilitamani hadi kughairi.Nifoleni gani nawewe ningum kuisahau?
Mchana mwema wadau.