1.KIDOGO
Hii ngoma ya bwana Platnumz ni baadhi ya ngoma zilizotoka mwaka huu na ikapoteza thaman au mtaani tunasema kufuria kwa mda mchache sana lkn wasanii waliosimama kwny hii ngoma ni heavy...
Habari,wakuu!, Binafsi mi ni mpenzi sana wa movie ila kwa upande wa Bongo movie,nilikuwa na wapenda sana marehemu (Steven kanumba na sajuki),kusema ukweli hawa wasanii enzi za uhai wao walikuwa...
Napenda kuwajulia hali wana jf...
Nimefatilia categories za eatvarwads cjaona jina hata moja la member yyte wa wcb ukizingatia ki ukweli ndo kundi/label ambalo limefanya vurugu sana kwenye music...
Waungwana naombeni anae jua application nzur ya ku download move kupitia simu,mm naijua UCB browser ttz hii ime base kwenye TV series mm nataka move as move,please[emoji120]
ommytech.com inakupatia huduma ya hosting kwenye website yako pia kununua domain kwa bei rahisi kabisa kma utahitaji wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0752292473 karibun
Katika mkutano na wandishi wa habari mkuu amenukuliwa akisema "angependa sana kama nayeye angepata mwaliko toka kwa ruge ili ashiriki fiesta Imoo kwani ndo itakua tarehe yake halisi ya kusherekea...
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa Channel mpya ya DSTV kwa ajili ya East Africa inayoitwa Trace Muziki Kwa ajili ya kupiga ngoma za wanamuziki wa kutoka afrika mashariki, lakini nimekuwa disappointed...
Nina mahaba sana na hawa jamaa wa hili kundi la West life toka nikiwa shuleni.
Leo shauku ya moyo wangu nataka kulileta nchini kundi hili kwa gharama yoyote ile.Mwenye full details kuhusu gharama...
Igizo hili limehusisha mandhari ya kijijini na mjini.Ni zuri sana kwani linaelimisha kuhusu uongozi mbaya,kutafuta haki,matumizi mabaya ya fedha,uhuni n.k. usikose kuangalia ni kila jumamosi saa...
Moja kwa moja kwnye Hoja.
Nimejaribu kuufuatilia mziki wa kisingeli na kujiridhisha kua mziki huu unakuzwa kwa ushabiki wa Media na wasaka Tonge , ila ni mziki usio na ladha kamili ya Burudani...
Katika makala hii usipokuwa makini kidogo unaweza kudhani sipendi music videos nzuri au za gharama, lahasha,napenda video nzuri. Naandika makala hii ili tujadili kuhusu muziki wetu usonge mbele...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya music fans wote. Lengo ni kukumbushana musiki wa kibongo hasa zile track zenye jumbe kuntu za kufundisha jamii katika...
J.H. Chase kwangu mimi ni mwandishi bora wa novel wa wakati wote, ameandika novel nyingi sana.
Novel 3 bora kuwahi kuzisoma toka kwa James Hadley Chase ni;
Knock Knock Who's There
No...