Jaman HiVi nimetazama vibaya au ni kwel kwenye video ya John legend love me nimeona watu Wa jinsia moja wameshikana na kulala as wapenz hii inamaanisha nn
*Looku Looku*[emoji102][emoji102]
NAOMBA UVAE MBAVU ZA SPEA
*_Mnyakyusa mmoja aliwaalika watu katika mazishi ya mama yake. Baada ya kushusha jeneza wakatia ndani ya kaburi viazi, mchele na kuku...
Nimekaa nimetafakari nikakumbuka wimbo wa Madee uitwao Hip Hop haiuzi, kiukweli ukitazama kwa kina utakuta ni kauli ya mtu aliekata tamaa na kitu anachokifanya na hii imefanya watu wengi wenye...
Thamani ya mwanamke ni mavazi
Kula vizuri kulala vizuri
Ndio siri ya kudumisha ndoa
Utaishi kwa raha amigo
Watoto wako wapeleke shule
Kwa manufaa yao ya badae
Elimu ndio zawadi muhimu...
Kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa kikongo bolingo watakua wanamfahamu vizuri huyu nguli asiyechuja kila mwaka
Baada ya wanamuziki chipukiza wa kizazi kipya wa bolingo kuachia nyimbo zao kwa...
Msanii Young daresalama kaachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina FURAHA ngoma iko poa sana na official music video yake ni nzuri sana kafanya HANSCANA,video vixen kaonekana mrembo Tunda...
Naomba msaada wa kuweza kudownload movies pasipo kutumia utorrentz. Kwasasa naona hii utorrentz wameisitisha kwahiyo haifanyi kazi tena. kwahiyo naomba mwenye uelewa anisaidie nifanyeje
Dubai Fountain ni moja kati ya vivutio vikubwa vya kitalii vikubwa Dubai na ni moja kati ya water fountain kubwa ulimwenguni.
Dubai Fountain mara nyingi huchezwa nyimbo maarafu kama wa Whitney...
Wakuu,
Ni nyimbo gani zinabamba hadi sasa zinazofaa kukaa kwny top 10 chart ya mwezi Disemba? Pendekeza ili tuzifanyie rating.
Kuna hizi (not in order):
1) Zigo Remix - AY ft Diamond
2) Aje -...
Je, ni kwamba mmoja kati ya Kusaga na Ruge wanakaribia kuchukua uteuzi katika serikali ya JPM? Kwa hiyo wameamua kuacha bifu ili waonekane vijana wazuri wasiozuia vipaji vya watz kukua? Just...
Hizi zote mbili ni nyimbo bora kabisa kutoka kwa mwaka huu.Alipotoa nyimbo ya wanandoto ya kala Jeremiah wengi waliamini kuwa kwa Hiphop mwaka umefungwa na Kala ila ujio wa darassa uliipoteza...
Bonyeza hiyo link hapo chini naamini utakubaliana na mimi kuwa huu wimbo si size yetu bali upo level nyingine kabisa. Congrats my sister endelea kupiga kazi kamwe usibweteke. Next level!
Video...
Kweli mgema akisifiwa tembo hutilia maji. Vee na ile sauti yake amazing alikuwa na haja gani ya kutumia ma auto tune kama hvo?
Au ndo alijua mashimo atafukia kwenye video ????
Vita vya kiushindani kati ya chibude na mhuni wa k/koo...hunirudish nyuma ushindan kati ya ray na marehem kanumba....
Tusifanye kwa ushabiki lets make fact..then ushabik...
Nikiwa mtumiaji mzuri wa apps maarufu duniani inayoitwa Spotify, kwa mara ya kwanza leo nimesikiliza nyimbo za msanii wetu mkubwa Diamond Platinum ndani ya Spotify.
Hakuna nyimbo nyingine kutoka...
Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali.
Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi...
Hii ni muvi ambayo nimeitafuta sana bila mafanikio ya kuipata, kama kuna mtu anaweza nitumia download link kama IPO, au hata tu kunipa ka summary au kuadithia, naomba ajitokeze ,Asanteni