Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kama unataka pesa, nenda kwa manji Hapa utapata mashine tuuu...[emoji3] [emoji3] [emoji3]
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Abdukiba katoa wimbo mpya akimshirikisha kaka yake Alikiba. Wimbo huo unaenda kwa jina la Single. Tazama
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Habar wanaJF, Nataka tujuzane vipindi vipendavyo kusikilizwa sana. Binafsi ni: 1. Jahazi - Clouds Fm (4pm - 7pm) Muendelezo Tafadhali!!!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau wa simulizi natumaini hamjambo, Jisomee simulizi za kiswahili na kiingereza hapa www.fictionandpoetry.us
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarini Wadau, Ninajiuliza sana kuwa Tanzania ina mpango gani wa kuwaendeleza hawa waigizaji wa Tasnia ya filamu? Lah kama si Tanzania basi je viongozi au mameneja wa Tasnia hii wana mpango...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bloodsport (1988) Kickboxer (1989) Lionheart (1990) Double Impact (1991) Universal Soldier (1992) Hard Target (1993) Street Fighter (1994) Timecop(1994) Sudden Death (1995) JCVD(2008)...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Open kumuangalia Insta@chocolatetz1
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Wanafunzi wote wa vyuo vikuu vya Dodoma mnakaribishwa katika event kali itakayowakutanisha wote, atakuwepo Aslay, Nandy na Dogo janja special appearance JOKATE. UDOM, CBE, MIPANGO, ST JOHN NA...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
What up y’all... Do you hate earworms as much as I do? They are so annoying, man. No matter how dope the song is it gets to a point where you literally can’t stop yourself from hearing it in...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
HAYA NI MENGI AMBAYO HUKUYAFAHAMU KUHUSU FILAMU YA TITANIC (Kwa hisani ya Global Publishers) JANA niliamua kuangalia tena na tena filamu ya Titanic, hakika sikuichoka na ninaweza kukiri kwamba...
18 Reactions
34 Replies
13K Views
Hua inatokea bahati mbaya naangalia movie za hapa bongo,kiukwel hua najiuliza hivi hii movie ina director?na je kama yupo baada ya kufanya edit zote hua wanakaa na kuiangalia yote kabla ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wapendwa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Muimbaji wa nyimbo za kizazi kipya na pia naweza kiasi kuuandaa.(Producer). Dhumuni la kuja mbele yenu waungwana, ni kuomba msaada wenu...
7 Reactions
95 Replies
14K Views
hatimaye Gigy Money awa mwanamuziki,ameimba wimbo mzuri sijui nani kamwandikia tuburudike huku tukitoa maoni kwa jinsi kila mmoja alivyouchukulia huu wimbo,binafsi nimeupenda,nimetumia kanuni ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Mfollow Sam Rapper Instagram kupitia Hii Link SamRapper @iamsamrapper - Instagram Photos&Videos Au @iamsamrapper @iamsamrapper @iamsamrapper
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Whats up guys,jamani naomba analysis ya hizi samples za beats kutoka very experienced producers i mean nini cha kuongeza na nini cha kupunguza kwenye hizi samples za beats
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafadhali naomba unipe jina la movie tajwa hapo juu. TANBIHI:Hata bongo movie za zamani zijawahi kuziangalia, so kama kuna uliyoipenda nami nimegee jina niweze kuitafuta
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ebwana kwa taarifa yao Grace Mugabe kalegeza na ile Ngoma ya Kikubwa kesho inakesha. Tujuzane kesho kama utazama ndani utazama kwaajili ya perfomance ya nani?? Unatokelezaje na maexperience yako...
0 Reactions
739 Replies
39K Views
Huu ndio uzalendo kwa Clouds fm kupiga nyimbo za Lady Jay De hakika nimefurahi sana naweza ku reqest music zake na nkazipata.
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Kila kitu tunachafanya au kupanga kufanya ni vyema tukaainisha wazi faida na hasara ambazo zinatarajiwa kupatikana, kisha zikawekwa kwenye mzani na kuona mzani unapodondokea, kisha ndio tufanye...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…