LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
hatimaye Gigy Money awa mwanamuziki,ameimba wimbo mzuri sijui nani kamwandikia
tuburudike huku tukitoa maoni kwa jinsi kila mmoja alivyouchukulia huu wimbo,binafsi nimeupenda,nimetumia kanuni ya WAHENGA kuwa mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni...