Bongo movie mnazingua

koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
980
1,606
Hua inatokea bahati mbaya naangalia movie za hapa bongo,kiukwel hua najiuliza hivi hii movie ina director?na je kama yupo baada ya kufanya edit zote hua wanakaa na kuiangalia yote kabla ya kui-release?
Sound mbovu mf.watu wako beach wanaongea lkn sauti ya mawimbi na upepo iko juu zaidi ya sauti za wahusika,mtu ana-act na umamuona ana-act kabisa na pia hua wanafanya matangazo bila wao kujua utakuta huyu anakunywa coca cola,huyu kilimanjaro huyu castle yule kiroba,najua hawalipwi ila sababu wao ni mbumbumbu hawajui wanamuingizia mtu pesa.yapo mengi sana,subtitles haziendan na yale wanayoongea yaan ni full blunder.
Najikuta napandwa na hasira ngoja niishie hapa ila kiufupi hawajanishwaishi kukaa ni waste mda wng kuangalia ushuzi wao,chaka langu Hollywood.
Mtizamo wangu
 
Wabongo kwa viroja... !!!

Umeanza kwa kusema: "Hua inatokea bahati....!" Which means, sio mara moja na possibly sio mara mbili!! Lakini mwishowe unamalizia:
Najikuta napandwa na hasira ngoja niishie hapa ila kiufupi hawajanishwaishi kukaa ni waste mda wng kuangalia ushuzi wao,chaka langu Hollywood.
Mtizamo wangu
Ulimbukeni mtupu!!! Chako lako Hollywood wakati unategemea movies za ku-pirate! Btw, sasa ni nani unamtolea povu hapa as if huwa unalazimishwa kuangalia hizo Bongo Movies?! Kwanini iwe inakutokea bahati mbaya ya kuangalia vitu ambavyo kwako ni ushuzi?!
 
Wabongo kwa viroja... !!!

Umeanza kwa kusema: "Hua inatokea bahati....!" Which means, sio mara moja na possibly sio mara mbili!! Lakini mwishowe unamalizia: Ulimbukeni mtupu!!! Chako lako Hollywood wakati unategemea movies za ku-pirate! Btw, sasa ni nani unamtolea povu hapa as if huwa unalazimishwa kuangalia hizo Bongo Movies?! Kwanini iwe inakutokea bahati mbaya ya kuangalia vitu ambavyo kwako ni ushuzi?!
Ni mtizamo wng na yale niyaonayo mm kama kasoro,ambayo nadhan wengi wetu tunayaona.
Jazba za nn sasa mkuu
 
Back
Top Bottom