Hakuna, to be honest with you.
Binafsi hakuna kitu ninacho miss nchi hii kama radio na television za habari na uchambuzi wa masuala ya kitaifa.
Coverage ya news zetu mdoshoooo, wachambuzi ndio kabisaaa , ni ma DJ wa miziki masikini ya Mungu ndio national pundits wetu, hawaelewi chochote kinachoendelea...
Kidooogo sana labda WAPO radio ndio huwa wana viuchanbuzi fulani serious toned kidoooogo kwa mambo ya kitaifa, tena kwa muda mfupi jioni jioni. It's a curse for me kwa saab nimeishi kwenye nchi ambazo kuna stensheni za radio (na TV) masaa 24 mitaalam ipo inachambua ma issue. Utakimbia mwenyewe.