American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 967
Habari wapendwa,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Muimbaji wa nyimbo za kizazi kipya na pia naweza kiasi kuuandaa.(Producer).
Dhumuni la kuja mbele yenu waungwana, ni kuomba msaada wenu wa hali na mali kwa sababu naona sasa nimeshakuwa kamili kila idara katika Muziki wangu.
Kifupi nimeshaandaa kazi yapata kama 20 (DEMO) studio za styles tofauti tofauti. Lengo ni kuweza kupata walao hata track moja itakayokuwa na nguvu kuliko zote ili initoe.
Style hizo ni Zouk, Chakacha, kwaito, Sebene, na
Rhumba.
"OMBI"
Nahitaji manager/msimamizi atakayeweza kunisimamia katika muziki wangu huu, Ili tufanye kazi, nina imani kwa asilimia nyingi, kama ikitokea nikisimamiwa vyema, nitapata jina upesi na tutaweza kurudisha pesa na faida sababu najua nafanya nini na naona muziki ulipo.
Nahitaji nimpate manager, nisaini nae mkataba, kisha tuunde team work, mimi niwe nakesha nikiandaa nyimbo, huku team iliyobaki ya yeye pamoja na watu wawili wanaojua vyema fitna za muziki wa Tanzania wakiwa mbele kwa ajili ya kusambaza muziki wangu kwenye media, mitandaoni na kwingineko.
NB:- (Upatikanaji wa watu hao wawili watakaohusika na kusambaza kazi zangu utazingatiwa na historia yao ya nyuma kuhusu kazi hiyo.
Na kwa bahati nzuri kuwapata hao sio kazi kubwa sana na tayari nina mawasiliano na baadhi yao.)
KWA YOYOTE ALIYE INTERESTED NA HILI ANAWEZA KUNIPM TUKAKUTANA STUDIO NILIPOFANYIA KAZI NA KUSIKILIZA KAZI ZANGU BURE, (walahu hata moja) akiona siwezi ruksa kuniacha.
Izingatiwe//
Muziki wa Tanzania ni ngumu kwa msanii kutoka bila ya kuwa na team inayofanya kazi nyuma yake. kwa kumpush, ni ngumu mno kwa msanii kutoka akiwa peke yake! 95% ya wasanii hutoka chini ya management huku wenye mipango bora wakitajirika na wengine wakishuka. Inatakiwa hekima na busara pia katika kuwekeza kwenye hili sio pesa tu.
ASANTE, NAWAKARIBISHA INBOX.
KARIBUNI