Huu Ndio Uzalendo kwa Clouds FM: Nyimbo za Lady Jaydee sasa ruksa kupigwa

Fdt

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
440
149
Huu ndio uzalendo kwa Clouds fm kupiga nyimbo za Lady Jay De hakika nimefurahi sana naweza ku reqest music zake na nkazipata.
 
Maisha Bhana

Ngoja Nione Siku Gardner Akimhoji Jay Dee Katika Kipind Cha Amplifier Siku Jide Akituwa Clouds
 
Back
Top Bottom