Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Jina langu ninaitwa Soka (sio jina halisi) na kwetu ni huko Moshi uchagani. Nilisoma kwa shida na kufanikiwa kupata elimu ya Sekondari na kisha kujiunga na mafunzo ya ualimu katika chuo cha...
58 Reactions
789 Replies
153K Views
Kuna utata bado kwenye ujio wa T.I Kwa sasa jamaa wanahaha kutafuta wasanii kwa kuokotezaokoteza ambao hawakuwa kwenye list incase hali itakuwa mbaya mpaka dakika za mwisho. Lakini kitanuka...
2 Reactions
2K Replies
152K Views
KAMBI YA NDALA. MWANGAZA hafifu wa mapambambazuko uliwafanya Luten Dennis Raymond Makete na wenzeke waonekane kama vivuli.Walikuwa katikati ya msitu wa Ndala wakienda mbio za mchakamchaka...
12 Reactions
430 Replies
148K Views
RIWAYA : KIAPO CHA JASUSI SEASON 1 SEHEMU YA 1 MTUNZI:PATRICK CK MAWASILIANO :0764294499 DAR ES SALAAM 20/04/2032.. Saa kumi alasiri muda ambao jiji la Dar es salaam...
27 Reactions
443 Replies
143K Views
Instagram: @sirizafamilia Salaam Sana Kwa wale wanaofuatilia tamthilia ya "Siri za Familia" (Family Secrets) inayorushwa EATV hii ni thread maalumu kuhusiana na Tamthilia hiyo. Familia nyingi...
6 Reactions
844 Replies
142K Views
SEHEMU YA 01 -Erick Shigongo “Mume wangu! Naomba unisamehe!” “Nikusamehe! Mara ngapi? Nahisi hunijui! Sasa subiri.” “Mume wangu naomba unisamehe! Sitorudia tena!” “Eti hutorudia! Unanifanya mimi...
15 Reactions
1K Replies
137K Views
SEHEMU YA KWANZA.(utangulizi) Sam, saam , samsoniii, huko unakoenda hakikisha unakula huko huko, maana huwezi kunisumbua kila siku , kwanini husikii weee mtoto Sasa nikwambie tu kuwa leo hakuna...
17 Reactions
1K Replies
136K Views
Nchi zilizo msitari wa mbele katika Ukombozi Kusini mwa Afrika zimetendewa mambo mengi maovu na Utawala dhalimu wa Makaburu... Hata hivyo halikupata kutokea tishio zito la kutisha kama hili...
7 Reactions
393 Replies
136K Views
Naifikiria miaka mia moja ijayo, au labda mia mbili au mia tatu!! Ni nini itakuwa hatma ya dunia? mbari ya binadamu (human race) itaendelea kutawala? Mpaka kufikia siku ya leo, Tarehe 13 March...
46 Reactions
726 Replies
132K Views
Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya. Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni Sinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka. Mimi binafsi movie ambayo huwa...
32 Reactions
1K Replies
132K Views
"BABA KAMA PUNDA JAMANI" "KISA CHA KWELI, CHENYE KUSISIMUA" Umri__ Naitwa Koga nimezaliwa mkoani Shinyanga vijiji Mimi ni binti wa kisukuma, maisha yangu ukubwani nikiwa binti mkubwa niliyaishi...
3 Reactions
51 Replies
130K Views
SEHEMU YA 1 Sitausahau mwaka 1978. Nina sababu tatu za kutousahau mwaka huo. Sababu ya kwanza ni kuwa kulitokea vita vya Kagera. Majeshi ya Iddi Amin aliyekuwa Rais wa Uganda yalivamia nchi yetu...
18 Reactions
161 Replies
124K Views
RIWAYA: UFUKWE WA MADAGASCAR Mtunzi: Kelvin Mponda SEHEMU: 2 Begi langu dogo la mgongoni lenye mifuko mingi yenye vipenyo tofauti ambapo mle ndani pia niliweka nguo zangu chache muhimu za...
5 Reactions
341 Replies
124K Views
RIWAYA: MPANGO WA KONGO NA, BAHATI MWAMBA SIMU: 0758573660. 1 MAUAJI Ilikuwa ni ndani ya majengo ya ubalozi wa Tanzania yalioko pembeni kidogo mwa mji wa mji mkuu wa Congo DRC katikakati...
20 Reactions
694 Replies
124K Views
SEHEMU YA KWANZA: JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba ambaye kwa sasa ni marehemu. Baba yetu alifariki miaka mitatu iliyopita...
14 Reactions
258 Replies
122K Views
TUSKER PROJECT FAME (TPF6) Leo mtanange bado unaendelea baada ya Eviction show ya jana,waliokuwa probation walikuwa wiki iliopita walikuwa Fess - Kenya Jennifer – Kenya Michelle...
5 Reactions
3K Replies
120K Views
Ni muda mwingine tena tukutane hapa wale wapenda Muziki (Music) wenye asili ya Ki-kongo unaojumuisha:- 1:- Bolingo. 2:- Zouk. 3:- Sukuos. 4:- Kiringala. 5:- Kikasai. 6:- n.k Kwa malengo ya...
16 Reactions
508 Replies
118K Views
Mimi si mpenzi sana wa hadithi ila hii nimeipenda nimeamua kushare na nyie ndugu zangu wa JF hasa wapenda stori za machombezo drama n stuffs like that tuwemo. ======= Simulizi ya kweli: SHANGA...
9 Reactions
385 Replies
118K Views
SEHEMU YA 01: Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku damu nyingi zikiendelea...
23 Reactions
292 Replies
115K Views
  • Closed
Then we went to Ocean drive for a lil' swim in the ocean.....i dont know why but the beach thing just aint for me....hahahahhahahayani i cant stand the sun on my skin for more than 10mins....yani...
0 Reactions
141 Replies
114K Views
Back
Top Bottom