Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukutane hapa wapenda music wenye asili ya Congo

Discussion in 'Entertainment' started by Adolph hitler jr, Dec 22, 2016.

 1. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Ni muda mwingine tena tukutane hapa wale wapenda Muziki (Music) wenye asili ya Ki-kongo unaojumuisha:-
  1:- Bolingo.
  2:- Zouk.
  3:- Sukuos.
  4:- Kiringala.
  5:- Kikasai.
  6:- n.k
  Kwa malengo ya kupeana taarifa na burudani mbalimbali kuhusiana na Music huu kama vile :-
  - Taarifa za wasanii mbalimbali wanaoimba aina hii ya Muziki..
  - Kubadilishana Videos,Audio na Image za miziki mbalimbali...
  - Kutaarifiana kuhusu wana-mziki wapya na wa kale...
  - Kupeana tafsiri Congo to Swahili..
  - N.k
  NOTE
  - Lugha yeyote inaruhusiwa ikiwemo Kikongo,Kifaransa na Kiswahili..
  - Music wa kizazi chochote tajwa hapo juu ruksa kuzungumzia na kuweka Video, Audio au picture yake. ..

  KARIBUNI SANA (WELCOME).
   
 2. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  download-1.jpg images-5.jpg images-9.jpg images.jpg images-7.jpg images-8.jpg download.jpg Wanamuziki maalufu wa kikongo:-
  Men
  -Werrason. -Koffi olomide (Mopao). -Pepe kalle. -Franco Lwambo Makiadi -Fally ipupa.-Kanda Bongoman, -Ferre Gola. -Wazekwa.- Awilo Longomba - Papa Wemba. -Madilu System. -Tabu ley. -Defao, -J.B Mpiana,-Aurlus Mabele,-Joseph kabaselle,-Mbuta likasu, -Ghatto, -Lucian Bokilo,-Bozi boziana,-Victoria elyson ...
  Women
  - Mbilia bel -Cindy lecour,-Fayatessy -Yondo sister -Tshala muana,-Scola,-Betty .....
  Groups (Makundi)..Band
  -T.P OK JAZZ ,-Empire Bakuba, -Quartier Latin International,-Wenge Musica ,B.C.B.G -Soukous stars,-Extra Musica,-G7 Ca va ler,-Loketo,-Zaiko langa langa. ...
   

  Attached Files:

 3. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  3280_71689754910_7887083_n.jpg Franco Video na Audio latest zinafuatia ngoja nipakue - Bhana congo karibuni mujisikie muzuri....
   

  Attached Files:

 4. merengo90

  merengo90 JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 5, 2013
  Messages: 6,465
  Likes Received: 2,251
  Trophy Points: 280
  Hiiii imekaaaa vizuri sana.

  Hebu shusha ngoma latest za ZOUK.
   
 5. m

  mtoto wa mjin JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2016
  Joined: Oct 15, 2016
  Messages: 411
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 80
  Nimekaribia mkuu..ingawa media zetu..hasa tv na radios zimetutupa sana...huwa nakumbuka sana enz za dj show..chin ya dj ommy...nimekaribia
   
 6. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
 7. Behaviourist

  Behaviourist JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2016
  Joined: Apr 8, 2016
  Messages: 9,553
  Likes Received: 10,356
  Trophy Points: 280
  Edit kwanza hiyo heading yako ili uondoe hizo [ B] na [/B ] mkuu!
   
 8. c

  chotera JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2016
  Joined: May 19, 2016
  Messages: 1,022
  Likes Received: 1,376
  Trophy Points: 280
 9. c

  chotera JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2016
  Joined: May 19, 2016
  Messages: 1,022
  Likes Received: 1,376
  Trophy Points: 280
  Sasa Huo muziki tuuzungumzie wa generation IPI? Huu wa kizazi kipya au ule wa kizazi cha kwanza na cha pili?
   
 10. c

  chotera JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2016
  Joined: May 19, 2016
  Messages: 1,022
  Likes Received: 1,376
  Trophy Points: 280
  Alikua anajifunza kubold sasa imeshindikana mfundishe
   
 11. Adolph hitler jr

  Adolph hitler jr JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 5, 2016
  Messages: 1,794
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  TAFSIRI ZA NYIMBO ZA KIKONGO
  :- Grace toi German by Jb Mpiana..... Kituko # #215
  :- Feux del armour by Jb Mpiana.... MPUNGA # #260
  :-Associe by Fally ipupa ... lee empire # #383
  :- Boyaye by Mbilia bel Quinine Mwitu.... #396
  WANAJUKWAA WAZOEFU
  - bagamoyo
  :-Historia ya Music wa kikongo......#427
  :- Best video songs
  GENTAMYCINE
  :- Ubora wa Dally kimoko na Diblo dibala wapiga gitaa hodari .... #46
  :-Maisha ya Allan kunkou ..... #57
  Kilaga
  :- Maelezo ya vizazi vyote (vitatu) vya music wa Congo..... #73
  CHAZA
  :- Historia ya Aurlus Mabele .....#174
  Sikonge
  :- Best Songs
  :- Historia ya Mere malu.
  Masiya
  :- Historia ya simalu masiya .... 261
  MPUNGA
  :-Historia ya Roberto Wumba ekokota.... #271
  :- Historia ya wapiga guitar wa kikongo.... #287
  ho chi minh
  :- List ya wakali wa Guitar (Guitarists)
  bhachu
  :- Extra Musica (pictures)
  :- Bendi bora ...#381
  Quinine Mwitu
  :- Best video songs.... #415
   
 12. c

  chotera JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2016
  Joined: May 19, 2016
  Messages: 1,022
  Likes Received: 1,376
  Trophy Points: 280
  njooni
   
 13. Behaviourist

  Behaviourist JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2016
  Joined: Apr 8, 2016
  Messages: 9,553
  Likes Received: 10,356
  Trophy Points: 280
  Tokea lini ukabold heading?
   
 14. c

  chotera JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2016
  Joined: May 19, 2016
  Messages: 1,022
  Likes Received: 1,376
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwani Ulikua na lengo gani?
   
 15. dafity

  dafity JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2016
  Joined: Aug 16, 2008
  Messages: 1,074
  Likes Received: 637
  Trophy Points: 280
  Tena hili swala la VIZAZI ni muhimu kufafanuliwa. Je IPI mipaka ya kizazi wa kwanza cha muziki wa Zaire (DRC), halikadhalika vozazi vinavyofuata nasikia hadi sasa ni kizazi cha tano. Ikitajwa bendi/mwanamuziki wa kila kizazi na wimbo/mtindo uliotumika itaeleweka zaidi. Mtangazaji Zuberi Musabaha (Ton Ton) wa RFA aje hapa atusaidie...
   
 16. M

  MasterGamaliel JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2016
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 210
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 60
  Ahsante
   
 17. M

  MPUNGA JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 802
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  Kizazi cha kwanza au first generation baada ya kupata uhuru kilikuwa ni kizazi cha akina Niko Kasanda.

  Kizazi cha pili ni cha akina Franco na TP OK Jazz akiwa na akina Simaro Lutumba, Jossy Kiambukuta, Tabu Ley, Sam Mangwana, Madilu System etc.


  Kizazi cha tatu ni kile maarufu kama cha Soukous ndani humo kilianza muda kidogo kikienda sambamba na kizazi cha rhumba humo unawakuta Zaiko Langa Langa, akina Vangu, huku kwetu unakuta akina Mangelepa, Less Wanyika, Baba Ilunga ~Nakolele, Mazembe, lakini kilishika chati sana enzi za akina Pepe Kale na Empire Bakuba na Bileku ya Mpasi, Bozi Boziana, Bongo Man, Yondo Sister, Soukouss Masters, Soukouss Stars, Aurlus Mabele, Tshmita, Dally Kimoko, Diblo Dibala na Matchacha Yetu, Tchiko Chikaya etc.

  Kizazi cha nne ni cha akina Def Defao na Big Stars, Wenge Musica, Wenge Musica 4x4, Quarter Latie na Charles Antoinwe Koffi Olomide Papa Fololo Mourhino Mokonzi Sarkozy Virus vya Ebola , Wenge Ailes Paries, Zaiko Nkolo Mboka,Wenge Musica BCBG ya kwake Papa Cherry Tshtuka JB Mpiana Mukulu, Wenge Musica Maison Mere ya kwake Ngiama Makanda Le Roi de la Forret Igweee, Extra Musica, na zake zingine za akina Rogaroga, Oxygen etc, G7 Ca va ler.

  Kizazi cha tano ndicho hichi cha akina Fally Ipupa DiCaprio, Ferre Gora Shwetan, Fabregas, Kabose, Herritier Watta Plus, kwa kibongobongo ndiyo hawa akina Christian Bella the King of the Best Melodies,
   
 18. Humble African

  Humble African JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2016
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 2,759
  Likes Received: 4,345
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa anaitwa Pascal lokua kanza..huyu jamaa ni miongoni mwa wanamuziki toka Congo wanaojua muziki na walionifanya nione hata lugha ya lingala ni soft and smooth...jamaa yuko very soul and emotional.. with an amazing melody and vocal techniques za ajabu.

  Nadhani kwa vile anafanya muziki akiwa majuu ndo sababu hapewi kipaumbele na Wacongoman wenzake. Ila napenda maana anaimba kwa lugha tatu kiswahili, Lingala, and France e.t.c

  Hizi ni miongoni mwa kazi zake kali hits.

  1; Mutoto
  2;Nakozonga
  3;juste un pe de'amor
  4; kuetu mbali
  5;Plus vivant
  6;Meur amor

  Na nyingine Kali kibao! Jamaa anapiga mziki addictive ule wa kusikiliza hata miaka ishirini.

  It's a must listen songs.
   
 19. b

  brightoscar Senior Member

  #19
  Dec 22, 2016
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 141
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 45
  Mi namuelewa sana Nyboma na mpiga guitar Dally Kimoko
   
 20. MANI

  MANI Platinum Member

  #20
  Dec 22, 2016
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Samahani mkuu enzi ya edition veve ilikuwa ni kizazi gani maana nakumbuka ochre veve na timu yake.
   
Loading...