Kwangu mimi naanza na bob Marley huwa namuelewa sana
Song called
"Is This Love"
I wanna love you and treat you right
I wanna love you every day and every night
We'll be together with a roof...
Tangu mwaka uanze sijapata nafasi yakuweza kutulia na kufanya mambo nayopenda pale napopata mda au nafasi hasa siku kama hii.
Leo hiyo nafasi nimepata na sasa nipo na chagua nyimbo za kusikiliza...
Mwenye nyimbo aliyoshirikishwa juma nature jina nimelisahau ila nakumbuka chorus
'Tutoe adhabu gani juu ya hawa wanaoturoga*2,
Kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetani,
Mwanga anaetutupia majini ni...
Wakuu habari...!!kama kawaida wale wapenzi wa series movies hi series ya Vikings tuliokuwa tunaifatilia kuanzia season 1 mpaka sasa kufika season 5 imefikia pazuri sana now ipo epsode ya 8 aisee...
Hi great thinkers! Someone whispered me that Calvin got luck to talk to Donald Trump.
Calvin: Excuse me where is the lobby?
Trump: Down the hall to the left.
Calvin: Thanks.
I"m not good in...
KOMBORA KIOTANI-34
Kiota cha mapenzi kati ya Dedani na mkewe kilichukuliwa kwa muda kidogo na utamu pamoja na hisia kochokocho zenye fukuto la mahaba kwa muda kidogo hakuna aliyeona sababu...
1. Steve James
Huyu jamaa aliwakilisha vyema kwenye muvi nyingi za mapigano na vita. Mojawapo ni muvi ya American Ninja akiigiza na mastaa wengine kama David Bradley pamoja na Michael Dudikorf...
Siku hizi nashindwa kulala kisa season yaani nakesha usiku kucha naangalia series tuuuuu.
sio kama zamani wakati soko la bongo movie lilivyo tamba.
hivi tatizo ni nini au na wewe upo hivyo?
Kutoka mwaka 2010 hadi 2012 kulitokea harakati iliyoasisiwa na Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu. Harakati hii ilisadikiwa ilitokana na uhasama binafsi wa sugu vs clouds, dhana ya pili ni kuwa...
Naomba kufaam huyu mtu mwenye ngozi mithili ya minofu raini ya samaki,nazionaga tu picha zao hawa watu wa dizaini hii wapo kweli ama ndo picha za kubuni za hawa wazungu?,ama kuna jambo lililo...
Sina u team kwenye mafanikio ya mtu na wala hayanisaidii. Lakini mtu anapofanya jambi jema na la kupongezwa inabidi apongezwe. Amekuwa msanii ambaye amelata mageuzi makubwa katik tasnia ya sanaa...