Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Umofia Kwenu wana JF, Jua Changamoto alizopitia mwandishi "Henry Mdimu" katika Story yake ya Mimi ni Shujaa. MIMI NI SHUJAA: PART 1 Uandishi wa habari ni kazi niliyoipenda tangu niko shule ya...
2 Reactions
40 Replies
10K Views
Sisifii siffii na sipendi mm ni mkazi jiji DSM. Hupenda kutoka mtoko Kama kawaida ya Sana ukiwa DSM. Nimetembea nimelala,nimezunguka miji hakuna pub kama hii. Kiukweli DJ ndio ananisuuza zaidi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii ni kazi ya Uandishi wa Maria Suriano wakati yuko field work nchini Tanzania mwaka 2007, hizi ni enzi za "DarHotwire" kama mtandao wa jamii wakati JF ndio imeeanza. Angalia attachment...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza shikamoni wakubwa waliochini ya hapo habari zenu ndugu. Kwa majina naitwa Aman Ibrahim mimi ni msanii na mwandishi pia wa nyimbo. Kiukweli nina kipaji cha muziki japo naelewa kuwa wapo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jmn wa penda music mpo me napenda sana music hasa upande wa instruments me ni drummer ( moderate) pia napenda piano nahitaji waalimu wakunipa ujuzi
2 Reactions
11 Replies
409 Views
Aisee sikuwahi kujua kama wimbo wa Maria ulioimbwa na mwanamuziki Fally Ipupa umetoka miaka 4 iliyopita,mimi nilipousikia mwaka huu na ulipovuma sana nikadhani ni wimbo mpya kumbe ushakula chumvi...
1 Reactions
3 Replies
261 Views
edson elias. track yaitwa niko tayari. - YouTube poor video hawa maunderground............................!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii iko kwa wanaume wote au ni Mimi tu? Yaani mm ni mchepukaji ila wa kutumia akili, siketi ikipita lazima macho yasindikize. Sasa mke wangu hata nikikuta meseji ya mjamaaa hata wanaofanya nae...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kisa Cha Rais Aliepo Madarakani Na Mmoja Wa Watu Wake Wa Karibu Serikalini. Simulizi Iliyojaa Intelijensia Iliyochanganywa Na Diplomasia Na Kuunganishwa Na Kisasi. A Breath-Holding Story Isome...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kusema ukweli hili ni jipya sana kwangu kuona Rais anacheza sinema na raia wa nchi nyingine. Nilitarajia kuona sinema imechezwa na Watanzania tu, na kuongozwa na Watanzania, na si vinginevyo...
0 Reactions
5 Replies
455 Views
kifupi huu wimbo niliupenda sana, then ujumbe wake ukikua mkubwa. Alikuwa ni Abb skilz na Blue enzi za 2003. Napenda ule mstari unaosema " jua wazi nikikuona roho inadunda, nipo radhi ndugu zangu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jaguar mints Sh1.2 million By Pulse writer Updated Friday, February 21st 2014 at 10:11 GMT +3 0 inShare jaguar in nakuru With four concerts in three towns in a span of two days, philanthropic...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu mama nyimbo zake matata sana.....utafikiri aliishi uswazi......ni mapenzi haswa Millie Jackson - Leftovers - YouTube Phillip, I know you said you`re leaving But can`t we discuss this at all...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana zimetolewa tuzo za Sinema zetu..kulikuwa na contents nyingi za udaku hasa zinazomuhusu diamond na hamisaa..km umepitia social network Leo ndio habari inayotrend kwa kasi sana...BT wanashindwa...
8 Reactions
41 Replies
6K Views
What happened to Amplifier we used to listen maana naona jamaa siku hizi story zake ni za kidaku and all about Diamond Platnumz mara Diamond this mara Diamond that ujinga mtupu, come on Millard...
0 Reactions
99 Replies
14K Views
Hivi Millard Ayo kashasepaga Clouds au? Maana namsikia Musa siku ya 3 hii Amplifaya! Leo nilichelewa kidooogo Kutune Amplifire Clouds Fm ila Nmekuta Baba ashibae Musa hussain Yupo Kwa Kiti cha...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Huu mchezo unaoitwa Crate Challenge ambao video zake zimeshika kasi katika mitandao ya kijamii hususan Tik Tok na Instagram huenda, kabla haujapoteza umaarufu wake, ukawaacha watu wengi na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
This is for my jazz heads in JF...najua hatuko wengi maybe 3 or 5 lakini this is the ultimate album everyone of us has to have. http://www.youtube.com/v/pBpLKm8vw4M Artist.....: Miles Davis...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Me,is a member of the mile high club,is they anyone else? to share experiences
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MIKWAJU 50 KUTOKA KWA DUNGA Nilianza KUSIKIA kazi zake akiwa na ndugu yake aitwaye SHAKII, huku wakisuka MIDUNDO mikali. Miaka ikaenda, nikamsikia akifanya ushirika na LAMAR pale 41 RECORDS...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom