Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

anatia hamasa hata usingizi usije ameimudu disc vyema ma dj wanawake wanaweza sana kumbe na anapangilia nyimbo vizuri
1 Reactions
28 Replies
4K Views
  • Redirect
KUHUSU "SEDUCE ME" ☆ Wimbo umetulia,unakupa mood ya kurelax...hakuna makelele na upayukaji wa kinaijeria ☆ Production nzuri hasa eneo la sound mixing ☆ Video nzuri, simpicity, originality...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma ya Diamond Platnumz na Patoranking itakayo tolewa rasmi wiki ijayo, WCB leo wameangusha ngoma mpya kali saaaaaaaaaaaaaana ijulikanayo kama Zilipendwa. Humu wapo...
3 Reactions
Replies
Views
  • Poll
Taja movie unazopenda wengne tuzitafute
1 Reactions
87 Replies
10K Views
  • Redirect
Mkongwe katika sanaa ya bongo flava miondoko ya HIP HOP bwana fareed kubanda amemlaum sana ommy dimpoz kwa kitendo alicho fanya ...ambapo ameelezea kisa kizima cha hadi Diamond kutaka Collabo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Eti wadau embu tuambizane kidogo iyo nyimbo inatofauti gani na ile aliyoimba matonya, au kisa wao wameimba wengi???? yani wamekosa ubunifu wamekopi hadi jina la wimbo. nadhani wasafi wameishiwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Eeh Baada ya KingKiba kurelease smash hit Seduce Me,leo jioni Diamond kaamua kuungana na team yake nzima ya WCB na kutoa ngoma inayokwenda kwa jina la Zilipendwa!! Ipi kali kwa maoni yako? Sent...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kama kichwa cha habari kinavyouliza nani kakopi mwingine?. Mnijuze wakuu maana mie nipo huku kijijini KALINZI nimesikia zote zinapigwa muda huu kwenye redio mbao,Nikashindwa kujua ya nani...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
Katika maisha yangu nimebahatika kuwa na kampani ya watu wa hulka na tabia tofauti tofauti. Nimepata fursa ya kuhudhuria katika maeneo ya starehe ,sherehe harusi sehemu ambazo inabidi nicheze...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
aliongea Baraka da prince wakati Ben Pal ametoa nyimbo TATU iliyokua mbovu na hata audiance haijaipokea vizuri kabisa kua ni Bora kumshauri rafiki yako msanii asitoe nyimbo kabisa kuliko kumsifia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mimi siyo mfatiliaji sana wa series, ila nikiwa na muda huwa napenda kuangalia series zinazohusiana na ujasusi pia siasa ndani yake! Mpaka sasa nimeangalia 1. 24 hours 2. Homeland 3...
2 Reactions
42 Replies
7K Views
Ivi kuna watu humu ambao huwa wanacheza game la BOOM BEACH? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
443 Views
  • Redirect
Toa comment yako Kaua au kapachapia? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Yeah.. Wakuu kama headingi inavyojieleza Kwa ushabiki nilionao kutoka kwa King kiba nimeamua nianzishe huu Uzi Ambao mashabiki wote wa king Tutakuwa tunakutana uku Kupeanda information mbali...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Yaan ukipita huko Istagram, Jamii forum, twiter wanaojiita mashabiki wa Alikiba wao ni kutukana matusi tu, wimbo umetoka mpya wao kabla hajacomment kitu anaanza na tusi! daah Mziki haupo hivyo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MIMI NAMPA 20/100 SIJUI WENZANGU MNAMPA NGAPI
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kiukweli kwa alichotuonyesha kiba leo katika video yake mpya ya Seduce me ni majanga matupu 1.Video mbovu 2.Rangi kwenye video hazieleweki yani hovyo hovyo 3.yupo rafu tu mchafu mchafu hadi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mshikaji anasifika kwa kutoa ngoma zinazoishi na sifa kibao lakini apa amuna kwa kweli, yaani kaka umepuyanga kinoma ngoma mbovuuuuu sijawai ona, utafikiri kaimba underground. Sent using Jamii...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
2 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom